Sitashiriki shughuli yoyote ya Kisiasa Wala kuchangia mjadala wowote wa kisiasa

Kwa kuwa ndio ule weledi wa kitanzania unaokumbatiwa na wanakijani ataweza kupewa nafasi hiyo kwa hisani ya dola na vyombo saidizi kama kawaida yao mambo ya kawa bamubamu/ msuano.
Wakati huo huo upande wa pili wanamchukua Lowassa tena
 
Alibadili jina kwa tangazo maalum , kutoka Kisandu hadi hili jina jipya , kuhusu dishi kuyumba inawezekana , maana aliwahi kusaliti Chadema , na kama unavyojua ukisaliti kile chama cha Mungu laana haiwezi kukuacha
Sawa mjumbe, ila hapo kwenye chama 'cha mungu' umekufuru kwa imani yangu... labda kama umeandika kwa dhihaka
 
Siasa siyo mkuu me mwenyewe alimanusura niuwawe ila nashukuru Mungu ingawa walifanikiwa kunitupia jini.
 
Papaa Don Nalimison anadeal na mabiashara yake makubwa anaachana na siasa za kikhanithi..!!
 
Back
Top Bottom