Sitashangaa waziri Dkt. Angelina Mabula akipita bila kupingwa 2020- Dkt. Bashiru Ally

Tuelimishanee

Member
May 23, 2018
20
18
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Dkt. Bashiru Ally amesema hatashangaa kuona mbunge wa jimbo la Ilemela ambaye ni Naibu waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angelina Mabula akipita bila kupingwa katika uchaguzi mkuu ujao 2020 kutokana na kazi kubwa aliyoifanya ya kuwaletea maendeleo wananchi wa jimbo lake.
Ameyasema hayo jijini Mwanza katika mkutano Mkuu wa Jimbo la Ilemela na kuelezea utekelezaji wa ilani ya Chama cha Mapinduzi kama ilivyoahidiwa na Mbunge wa Jimbo hilo wakati wa kampeni za uchaguzi za mwaka 2015.
Amesema kuwa hakuna kumnadi tena Dkt. Angelina Mabula kwa kuwa anazo sifa zinazomuwezesha kutetea kiti chake na yeyote anayetaka kuwania nafasi katika jimbo hilo ajue kiti hicho kishakaliwa pamoja na kata zake 19.
‘’Ole wake anayetaka kupitia mlango wa nyuma, chama kina utulivu sitashangaa Dkt. Mabula akipita bila kupingwa uchaguzi ujao,‘’amesema Dkt. Bashiru.
Aidha, amewaonya wabunge wa CCM waliozembea kufanya ziara za kutatua kero za wananchi pamoja na kufanya vikao kwenye majimbo yao kuwa hawatakuwa na ulinzi wakati wa kinyanganyiro cha kupendekeza majina ya kuwania nafasi hizo na kusisitiza kuwa kipaumbele kitatolewa kwa wabunge waliokuwa wakichapa kazi.

Kwa upande wake Mbunge wa Jimbo la Ilemela ambaye ni Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Mabula amesema kuwa jimbo lake kwasasa limepiga hatua kubwa kimaendeleo katika sekta za Elimu, Afya, Maji, Miundombinu, Uzalishaji na Mifugo, Viwanda na Biashara pamoja na Utamaduni na Michezo ukilinganisha na miaka iliyopita.
BUUMU.jpg
 
Hii habari haijakamilika kabisaa.,na tutamchukulia hatua aliyeandika habari hii.

Haiwezekani kuona habari ndefu namna hii na usione jina la 'Mzee baba' akiwa hajatajwa kwa kushukuriwa.,hahah
 
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Dkt. Bashiru Ally amesema hatashangaa kuona mbunge wa jimbo la Ilemela ambaye ni Naibu waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angelina Mabula akipita bila kupingwa katika uchaguzi mkuu ujao 2020 kutokana na kazi kubwa aliyoifanya ya kuwaletea maendeleo wananchi wa jimbo lake.
Ameyasema hayo jijini Mwanza katika mkutano Mkuu wa Jimbo la Ilemela na kuelezea utekelezaji wa ilani ya Chama cha Mapinduzi kama ilivyoahidiwa na Mbunge wa Jimbo hilo wakati wa kampeni za uchaguzi za mwaka 2015.
Amesema kuwa hakuna kumnadi tena Dkt. Angelina Mabula kwa kuwa anazo sifa zinazomuwezesha kutetea kiti chake na yeyote anayetaka kuwania nafasi katika jimbo hilo ajue kiti hicho kishakaliwa pamoja na kata zake 19.
‘’Ole wake anayetaka kupitia mlango wa nyuma, chama kina utulivu sitashangaa Dkt. Mabula akipita bila kupingwa uchaguzi ujao,‘’amesema Dkt. Bashiru.
Aidha, amewaonya wabunge wa CCM waliozembea kufanya ziara za kutatua kero za wananchi pamoja na kufanya vikao kwenye majimbo yao kuwa hawatakuwa na ulinzi wakati wa kinyanganyiro cha kupendekeza majina ya kuwania nafasi hizo na kusisitiza kuwa kipaumbele kitatolewa kwa wabunge waliokuwa wakichapa kazi.

Kwa upande wake Mbunge wa Jimbo la Ilemela ambaye ni Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Mabula amesema kuwa jimbo lake kwasasa limepiga hatua kubwa kimaendeleo katika sekta za Elimu, Afya, Maji, Miundombinu, Uzalishaji na Mifugo, Viwanda na Biashara pamoja na Utamaduni na Michezo ukilinganisha na miaka iliyopita.
Ameanza kampeni Halafu hakupaswa kufanya hivyo, yeye ni kiongoz mkubwa halafu ndie anaehusika kwenye mchucho why aseme hivyo? Kosa kubwa Sana amefanya na ukiangalia na kufikiri zaid unaweza ukagundua kuwa Hawa viongozi hulewa madaraka had hufanya mambo ambayo msomi hawez kuyafanya, utendaji wake kama kiongoz mkubwa wa chama chetu umenishtua Sana Kwa kauli hiyo, kimsingi sio kiongoz mzuri, sio Mtendaji, miiiko ya utendaji haijui hata Kama ni Dokta kuna vitu amevikosa vya kiuongoz
 
Hawa watu wameanza kampeni mapema, against katiba ya Chama na ya Nchi. Katibu Mkuu anatuma salamu live kwa WANA CCM waliokuwa na mawazo ya kumpinga Angelina wasipoteze muda wao. CCM mpya hii chini ya Comrade John Pombe ambapo nepotism imetamalaki na inafanyika mchana kweupe.
 
Ilemela hawamtaki, isitoshe kumeanza figisu za kumuondoa wanajihami tu.
Haahaa
Ila kila lakheri yake isipokua ategemee ushindani m-banano
 
Huyu si ndiye aliyezomewa jimboni kwake? Inakuwaje tena apite KINYEMELA!? 😳

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Dkt. Bashiru Ally amesema hatashangaa kuona mbunge wa jimbo la Ilemela ambaye ni Naibu waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angelina Mabula akipita bila kupingwa katika uchaguzi mkuu ujao 2020 kutokana na kazi kubwa aliyoifanya ya kuwaletea maendeleo wananchi wa jimbo lake.
Ameyasema hayo jijini Mwanza katika mkutano Mkuu wa Jimbo la Ilemela na kuelezea utekelezaji wa ilani ya Chama cha Mapinduzi kama ilivyoahidiwa na Mbunge wa Jimbo hilo wakati wa kampeni za uchaguzi za mwaka 2015.
Amesema kuwa hakuna kumnadi tena Dkt. Angelina Mabula kwa kuwa anazo sifa zinazomuwezesha kutetea kiti chake na yeyote anayetaka kuwania nafasi katika jimbo hilo ajue kiti hicho kishakaliwa pamoja na kata zake 19.
‘’Ole wake anayetaka kupitia mlango wa nyuma, chama kina utulivu sitashangaa Dkt. Mabula akipita bila kupingwa uchaguzi ujao,‘’amesema Dkt. Bashiru.
Aidha, amewaonya wabunge wa CCM waliozembea kufanya ziara za kutatua kero za wananchi pamoja na kufanya vikao kwenye majimbo yao kuwa hawatakuwa na ulinzi wakati wa kinyanganyiro cha kupendekeza majina ya kuwania nafasi hizo na kusisitiza kuwa kipaumbele kitatolewa kwa wabunge waliokuwa wakichapa kazi.

Kwa upande wake Mbunge wa Jimbo la Ilemela ambaye ni Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Mabula amesema kuwa jimbo lake kwasasa limepiga hatua kubwa kimaendeleo katika sekta za Elimu, Afya, Maji, Miundombinu, Uzalishaji na Mifugo, Viwanda na Biashara pamoja na Utamaduni na Michezo ukilinganisha na miaka iliyopita.View attachment 1168376
 
wanaendelea na kampeni, wakati wapinzania wao wamewabambikizia kesi kisutu,
wewe umeambiwa kwamba h

uyo mabula yeye pekee ana hati miliki ya jimbo?
Hivi bashiru ulisha rudisha kadi ya CUF?
 
Ok kwa hiyo mikutano ya kisiasa imesharuhusiwa?please mkuu wa wilaya husika unaweza onyesha kibali cha kuruhusu mkutano huu ?ILA tuelewe kuwa IT ALWAYS SEEMS IMPOSSIBLE UNTIL IT IS DONE.
 
Hao Vijana watatu waliokaa nyuma ya Bashiru siyo Green Guard hao?,si sheria hairuhusu kuwa na vikundi vya ulinzi?Jaji Mtungi hoyeeee!!
 
Ameanza kampeni Halafu hakupaswa kufanya hivyo, yeye ni kiongoz mkubwa halafu ndie anaehusika kwenye mchucho why aseme hivyo? Kosa kubwa Sana amefanya na ukiangalia na kufikiri zaid unaweza ukagundua kuwa Hawa viongozi hulewa madaraka had hufanya mambo ambayo msomi hawez kuyafanya, utendaji wake kama kiongoz mkubwa wa chama chetu umenishtua Sana Kwa kauli hiyo, kimsingi sio kiongoz mzuri, sio Mtendaji, miiiko ya utendaji haijui hata Kama ni Dokta kuna vitu amevikosa vya kiuongoz
Kwa hili nakubaliana kabisa na wewe .Bashiru kazi Yake Sio kunadi wagombea wa ngazi yeyote.Kachemka Tena Sana.Hiyo Sio kazi ya katibu mkuu wa CCM kuwa makerting officer wa mgombea yeyote kabla ya chama kumpitisha mtu Kama mgombea.Chama kikishawapitisha wagombea ndio anatakiwa awa makert sokoni.Kachemka
 
Back
Top Bottom