Sitashangaa watu fulani wakaja na hoja za kutaka kuhujumu ofisi za chama fulani

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,154
144,677
Watu hawa wameshaonyesha ni jinsi gani walivyo na chuki na roho mbaya(barbaric behaviour) na ni wazi wanatamani wabaki peke yao na wala wasiwe na mshindani.

Kwa mtazamo wangu,wakimaliza hizi hujuma zao zinazoendelea, bado wanaweza kuona haitoshi na wakaja kaja na hoja za kutengeneza sisizo na kichwa wala miguu kuhoji uhalali au uwepo majengo ya ofisi za wenzao katika maeneo fulani.

Tambueni hawa watu hawakosi sababu

Naanza kuona aina fulani ya "barbarism" ikianza kuoto mizizi!
 
Back
Top Bottom