Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,013
- 144,371
Huu ni mtazamo wangu kutokana na historia ya Jamuhuri husika ambapo kwa nyakati tofauti zimekuwa zikiundwa tume/kamati mbalimbalu za uchanguzi na mara baada ya kamati hizo kukamilisha kazi na kuziwasilisha kwa walioziteua,matokeo ya kamati hizo hubaki kuwa siri au ripoti kamili ya uchunguzi kutotolewa.
Kwa uzoefu huu,sitashangaa hali hii ikajirudia katika kamati hii kama ilivyotokea kwa baadhi ya kamati zilizotangulia na hasa iwapo itagusa wasiotarajiwa au kuonekana inaumbua watu fulani.
Kamati hii imeundwa hivi karibuni katika nchi moja ambayo sitaitaja hapa ila iko katika Bara moja la mbali.
Tutege macho kupitia BBC au vyombo vingine vya habari vya kimataifa vitapotangaza yatakayoendelea.