Sitasahau;yalikuwa mahaba mazito yenye maumivu mazito | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sitasahau;yalikuwa mahaba mazito yenye maumivu mazito

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Jacaranda, May 8, 2012.

 1. J

  Jacaranda Member

  #1
  May 8, 2012
  Joined: Oct 23, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkasa huu nilisimuliwa na rafiki yangu nilipoenda kumtembelea hospitali miaka miwili iliyopita.Ni mkasa wa kweli ila ni watu wachache waliousikia na hata wale waliousikia wengi hawajui hasa nini kilitokea.Kwa sasa muhusika hayupo tena nchini anaishi kwenye nchi moja ulaya na ameamua kuchukua uraia wan chi hiyo.Nimemuomba sana kuandika kuhusu jambo ila kwa takriban miezi miwili mwanzoni alikataa ila baada ya kumsisitiza sana mwishoe ameniruhusu. .Nimejaribu kuandika kwa ufasaha kuhusu tukio lenyewe na kuficha baadhi ya mambo ili kuhakikisha natunza heshima yake naya ndugu zake.


  Pua zangu zilinusa Harufu nzuri kutoka bafuni alililokuwa anaoga,ilikuwa ni harufu ya marashi safi isiyokera pua na ambayo inaweza kukufanya utamani kuendelea kuinusa kwa siku nzima .Alipotoka bafuni alisimama katikati ya chumba kisha akaliachia taulo alilokuwa amejifunga, likadondoka chini na kumuacha mtupu.Akanifuata kwa mwendo wa bwembwe utafikiri yuko kwenye mashindano ya urembo,kila hatua aliyokuwa akiichukua ilikuwa ni kama ya mtu aliyekuwa akitafakari jinsi ya kutembea.


  Nywele zake ndefu ziliruka ruka na na kuufunika uso wake na kumfanya kukirudisha kichwa chake kwa nyuma ili kuziondoa nywele zilizokuwa zinayafunika macho yake .Mwanga hafifu wa taa ulimumulika na kumfanya aonekane mzuri mara mia zaidi ya Kim kardashian .Rangi ya ngozi yake ilikuwa ni ya chungwa toka usoni mpaka nyayoni, ukijumlisha na nywele zake usingekuwa na shaka kusema ni mtu mwenye asili ya latin America .Matiti yake yalikuwa na ukubwa wa wastani ila yamevimba vizuri na kukipamba kifua chake vyema,matiti yake na urefu wake ulikuwa ni mithili ya Nyomi Branx” Jacaranda Unamfahamu Nyomi Branx ” akanitupia swali huku akinitazama usoni .Nikatikisa kichwa kuashiria kuwa simfahamu.”Ni mchezaji porn nenda kamtafute kwenye mtandao utagundua ninachokisema”Kiuno chake kilikuwa kimebeba wowo safi na kulifanya umbo lake kuwa kama namba nane.Jacaranda sijawahi kuona mwanamke mzuri zaidi yake na kamwe sitaona


  Alipofika kitandani aliipitisha mikono yake shingoni mwangu kisha akakaa kwenye mapaja yangu na kuupeleka ulimi wake ndani ya tundu la sikio langu, kama mtu atafutae kitu fulani ulimi wake ukaanza kutalii kwenye sikio langu.Jambo hilo lilisababisha kitu kama shoti kilichoanzia kwenye utosi wa kichwa changu na kisha kusafiri mpaka chini ya nyayo za miguu yangu .Wakati huo midomo yangu ilikuwa inanyonya chuchu zake kisha taratibu nikashusha midomo yangu mpaka kitovuni mwake nikakutana na kipini ambacho kilikuwa kimeundwa na madini ya Tanzanite.Nilipouweka ulimi kwenye kitovu chake alianza kupumua kwa kasi kama mwanariadha aliye kwenye marathon .


  Akaiteremsha mikono yake mpaka katikati ya mapaja yangu akakutana na uume wangu ambao ulikuwa umesimama utafikiri nguzo zilizobeba nyumba yenye ghorofa mia moja kitendo hicho kilinifanya nihisi kama damu imeshindwa kwenda ubongoni mwangu.Uwezi kuamini Jacaranda kwa muda ule ungeniuliza moja kujumlisha moja nisingeweza kujua jibu lake. basi alipoona mikono yake imefanya kazi kwa ufanisi mkubwa akakishusha kinywa chake mpaka mapajani mwangu na midomo yake ikazama kwenye nyeti zangu aaaah kitendo hicho kilisababisha miguu yangu ipate ganzi na kuifanya icheze cheze utafikiri imepigwa shoti .

  Wakati nikiwa kwenye dimbwi la raha ghafla nikasikia kama kisu kikali kimezipitia nyeti zangu.Nikahisi maumivu makali ambayo yalisabisha nipige kelele kwa sauti ya juu.Nilipomungalia Yule msichana niligundua meno yake yamerefuka nakua kama ya simba na macho yake yalikuwa yanatoa mwanga kama tochi.Midomo na mikono yake ilikuwa imejaa damu. Nikapigwa na butwaa nisijue nini cha kufanya.Damu nyingi zilikuwa zinatoka katikati ya mapaja yangu na kufanya dimbwi sehem niliyokuwa nimelala .Nikajihisi nguvu zinanishia nikajaribu kunyanyua kinywa changu lakini nikashindwa,nikajihisi kizungu zungu huku macho yangu yakiona maluwe luwe .Msichana Yule alijiondoa toka kwenye maungo yangu, nilipomuangalia nilizidi kupigwa na butwaa alikuwa ameshikilia nyeti zangu mkononi mwake akizitafuna taratibu kama mtu atafunae kipande cha mshikaki.Nilipojiangalia mapajani mwangu hakukuwa na kitu zaidi ya kidonda kikubwa kilichojaa damu.Nikaishiwa nguvu nikahisi kichwa changu kimekuwa chepesi,giza likayafunika macho yangu na mwili wangu nikahisi kama unaelea angani.Nilipoamuka jambo la kwanza nikajiangalia mapajani ambapo nikakutana na bandeji ambazo zilikuwa zimefunika sehemu zangu za siri


  Najua utakuwa unajiuliza nilifikaje hapa hospitali na vipi ilikuwa ni hatima ya Yule msichana.Baadhi ya mambo nilisimuliwa na muhudum wa hoteli aliyenileta hapa ili mengi ya mambo yamebaki kuwa kitendawili kwangu mpaka leo, hasa kuhusu Yule msichana.Ila mambo yalikuwa hivi………………… Tutaendelea
   
 2. k

  kisukari JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,754
  Likes Received: 1,042
  Trophy Points: 280
  raha ya story ni uimalizie,ikiwa nusu tu,huwa hainogi.ila imekaa kama hadithi za alfu lela ulela
   
 3. Geraldo DaVinci

  Geraldo DaVinci JF-Expert Member

  #3
  May 8, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 277
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mh aisee its weird
   
 4. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #4
  May 8, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  hiyo ni true story love story drama thriller au ni horror...??!!
   
 5. mdoe

  mdoe JF-Expert Member

  #5
  May 8, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 436
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kipande cha movie ya ki-nigeria!
   
 6. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #6
  May 8, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mwe, inaogopesha though ilianza vzur mh
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  May 8, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #8
  May 8, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Mimi nimesoma kidogo nivyoona to much details nikajua haiishi, nilivyoshuka chini na kukutana na itaendelea; hamu imeisha!
   
 9. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #9
  May 8, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  Kumbe jini
   
 10. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #10
  May 8, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Stori za kumuambia msichana zima taa, akanyoosha mkono from the bed to the wall switch. Nahisi they kept my bros from sex for a while
   
 11. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #11
  May 8, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,321
  Likes Received: 22,167
  Trophy Points: 280
  Jamani hii si ndio ile hadithi ya ua jekundu??
   
 12. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #12
  May 8, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Tragedy
   
 13. S

  Starn JF-Expert Member

  #13
  May 8, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 400
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hizi story za shigongo
   
 14. MduduWashawasha

  MduduWashawasha JF-Expert Member

  #14
  May 8, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 1,567
  Likes Received: 407
  Trophy Points: 180
  ngoja nikavute fegi kwanza
   
 15. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #15
  May 8, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Nakusubiri nione itakuwaje
   
 16. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #16
  May 8, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Hadithi njoo, uongo njoo, utamu kolea..
   
 17. kibol

  kibol JF-Expert Member

  #17
  May 8, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 3,137
  Likes Received: 379
  Trophy Points: 180
  hadithi km za kwny magazeti ya bongo zamani zileeeee
   
 18. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #18
  May 8, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Tena nakumbuka mwanamke wa ile movie yeye alikuwa anatumia kisu kuzikata
   
 19. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #19
  May 8, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Ni nzuri sema hakuimalizia...

  Na Jacaranda amevaa tu uhusika wa huyo "victim"...
   
 20. Rural Swagga

  Rural Swagga JF-Expert Member

  #20
  May 9, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Nyomi Branx" Jacaranda Unamfahamu Nyomi Branx "hahahahaha Aiseee ninamfahamu si yule dada wa cinema za naniliiiii haha,,Umejitahidi kutunga bro
   
Loading...