sitasahau wadada nimewavulia kofia.

Jaslaws

JF-Expert Member
May 31, 2011
6,016
5,284
Mambo niaje wakuu..sijui hata nianzie wapi?...hawa wanawake...!! basi tu!!basi bwana nmekua nikimdate dada mmoja mwenyeji wa iringa .sio siri kwa haraka haraka nlijua huyu ananipenda kwa dhati, mie kiukweli nlimpenda sana.Tumedate kwa almost mwaka na nusu,kwa mda wote huo sharti ilikua ni hakuna kugegendana mpaka tufunge ndoa.Kidume nlijipa moyo nkajikaza kwani mama nilihus namjua sana ni mlokole haswaa mpka watu uwa wananishangaa nlimptaje coz mie cnaga swaga za kilokole,aliku kesha nihakikishia kua yeye ni bikira na ajawai ku do.Kwa mda wote wa mapenzi yetu nmekua nikijaribu kuomba mchezo ila ilishndkana.juzi kati ulizuka ugomvi mkubwa sana kati yangu na yeye kisa kikiwa ni hicho hicho kugegenda,Mimi nkiwanataka yeye ataki,tumekaa bila kuongeleshana kwa almost wiki nzima,jana ijumamosi ndo aliamua kuvunja ukimya na kuniita niende kwake ili tusort out ili tatizo.Tuliongea mengi ila dada bado alikua kashikilia msimamo wake ila akaniomba nimpe mda kidogo afikilie jinsi ya kulifanya hilo,nlimkubalia,basi ile kuangana kwa hugs na kisses tukajikuta kitandani bahati nzuri ni kama she was 50/50 kufanya,na mie sikutaka kua ---- nikatoa dudu fasta nikijua leo ndo naifumua zawadi yngu ya chrsmas...mmmh..nlichokikuta huko staki kuamini mpka sa hvi..nahisi mie nlikua mwanaume wa 20 kuzamisha. Hata gori nlishdwa kupiga kwa sababu ya mawazo nlokua nayo,nlivaa surua yangu taratibu. nkimwacha demu analia sana uku akiniomba msamaha daa wanawake siwatamani tena..
 
Alitaka akuuzie mbuzi kwenye gunia? Hahahaaa..
 
Kwani alikwambia hataki umgegede kwa kuwa ni bikira? Kumbe hujui hata uchi ukiwa loose mwanamke anaogopa kuanzisha mchezo haraka anajua utakimbia tu alafu bahati yako ungejishauwa ukaoa kabisa ndio ugegegede.
 
Mambo niaje wakuu..sijui hata nianzie wapi?...hawa wanawake...!! basi tu!!basi bwana nmekua nikimdate dada mmoja mwenyeji wa iringa .sio siri kwa haraka haraka nlijua huyu ananipenda kwa dhati, mie kiukweli nlimpenda sana.Tumedate kwa almost mwaka na nusu,kwa mda wote huo sharti ilikua ni hakuna kugegendana mpaka tufunge ndoa.Kidume nlijipa moyo nkajikaza kwani mama nilihus namjua sana ni mlokole haswaa mpka watu uwa wananishangaa nlimptaje coz mie cnaga swaga za kilokole,aliku kesha nihakikishia kua yeye ni bikira na ajawai ku do.Kwa mda wote wa mapenzi yetu nmekua nikijaribu kuomba mchezo ila ilishndkana.juzi kati ulizuka ugomvi mkubwa sana kati yangu na yeye kisa kikiwa ni hicho hicho kugegenda,Mimi nkiwanataka yeye ataki,tumekaa bila kuongeleshana kwa almost wiki nzima,jana ijumamosi ndo aliamua kuvunja ukimya na kuniita niende kwake ili tusort out ili tatizo.Tuliongea mengi ila dada bado alikua kashikilia msimamo wake ila akaniomba nimpe mda kidogo afikilie jinsi ya kulifanya hilo,nlimkubalia,basi ile kuangana kwa hugs na kisses tukajikuta kitandani bahati nzuri ni kama she was 50/50 kufanya,na mie sikutaka kua ---- nikatoa dudu fasta nikijua leo ndo naifumua zawadi yngu ya chrsmas...mmmh..nlichokikuta huko staki kuamini mpka sa hvi..nahisi mie nlikua mwanaume wa 20 kuzamisha. Hata gori nlishdwa kupiga kwa sababu ya mawazo nlokua nayo,nlivaa surua yangu taratibu. nkimwacha demu analia sana uku akiniomba msamaha daa wanawake siwatamani tena..

Kwahiyo ahadi iko palepale? Au umepiga chini?
 
Hahahaaaaaa! Nacheka kwa huzuni lakini!

Kabla hamjadenguli vingamuzi venu mjiulize ni Dst high definition ama star times? Did I just say that? No I didn't! How low of me!
 
Umeshasema anatoka Iringa sasa ulikuwa unategemea nini. Hata kama hujui kusoma hata picha huoni.
 
Hahahahaaa....Madogo sana hayo. Endelea naye ili uone makubwa. Chezea mwanamke wewe. Shampata wahivyo eti bikra ananrusha kila siku kumbe uongo. Mi nlimbana maswali kwanini alikua anidanganya akasema alilazimishwa kusex alivyo kuwa getto kwa rafikie wa kiume. Hahahahaaa....ndo maana sometimes nakua kauzu. Asilimia kubwa si wema.
 
Ukiona mwanamke miaka 23+ anakuambia yeye ni bikira au hataki kuingiliwa mpaka ndoa, ujue kuna tatizo hapo.
 
Siku nyingine usiwavulie KOFIA ila wavalie SemKONDOM.... huyo inabidi uwe na 4x4 au matairi yamewekwa Mnyororo utafikiri unadrive huko Finland..... vinginevyo, utaingia hadi wewe kwenye Black hall.....

driving-on-ice-2.jpg
 
kama kutowa mawazo ningelikuomba kama ulikuwa na imani ya kuoa usingelileta hiyo thread hapa lakini alikujuwa wewe ni ulitaka kupiga na kuondoka
Inaweza kuwa aliwahi kufanya huo mchezo kwa sana lakini alirudi kwa mungu na kuwacha na kurekebisha tabia yake na alitegemea kuwa nawe ni utakuwa mkweli katika kuoa lakini wewe hukuwa muaminifu

mimi ninakulaumu wewe kutokuwa muaminifu na hukuwa na lengo la kuoa utaleta sababu nyingi lakini hizo zitakuwa ni maelezo tu
 
Jamaa ulijua unapasua yai ! Hahaha! Maskini mlokole wa watu ndo umemgegeda hivihivi!!! Pole lakini!

Hahaaa,kupasua yai?Msamiati mpya leo!
Angesubiri wapange lini wagegedane angeikuta bikra ya kichina,chezea teknolojia wewe!
Na akapime ngoma baada ya miezi mitatu naamini kwa hizo haraka hata hakuwa mwanaume wa ukweli!
 
Back
Top Bottom