Sitasahau siku ya jana na leo nilivyolala mahabusu

Inategemea, ukiingia mule wale wazoefu watakuuliza umefanya kosa gani? Usiwaambie ukweli kama kosa lako ni dogo kama la mwenye uzi wewe sema nimeua! Hapo watakuheshimu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni kweli nakumbuka mara ya kwanza kuingia cell niligonga askari police kuingia ndani majamaa yananiuliza umefanya kosa gani nikayaambia tu nimeua askari kisha nikamute nikaona heshima inakwepo mule ndani wanaanza kuniita bro.

Nb: yule askari niliemgonga hakua amekufa kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pole mkuu mm pia walishia wahi nitia ndani for some hours inachanganya sana kisaikolojia
 
Niliingia sero kwa mara ya kwanza nikiwa kidato cha kwanza, ni moja ya historia mbaya sana kuwahi kunitokea. Jamaa walikuwa wananiambia once ukiingia huku lazima urudi tena huko mbeleni, namuomba Mungu sana isije kujirudia tena hiyo kitu, though everything is possible.
 
Duh! Wakuu, nilikuwa nasikia tu kwa wengine. Jana nimelala Lock up kwa mara ya kwanza. Kwanza nimedakwa nikatiwa bangili, then nikapandishwa kwenye farasi mweupe then moja kwa moja kituoni (jina la kituo not disclosed) kwa kuwa uchunguzi unaendelea bado, ila in short ni case ya kubambikiwa.

Nilivyofika kwanza unakuwa traumatized na kupanic juu maana huelewi kwanini umekamatwa na pia zile kelele za kule ndani, mixer harufu, mixer matusi ya mapoti, yaani ni experience mbaya sana plus kupigwa pingu mtaani mbele ya watu wanaokuheshimu yani acheni tu Wakuu.

Leo ndio nimetoka kwa neema za Mungu ila bado nitaendelea ku-report. Tujitahidi kuwa waangalifu ndugu zanguni maana nimeamini wengi walio lockup hawana makosa wengi ni kubambikiziwa na pia hakuna uchunguzi uliokamilika hadi unapokamatwa, very disappointing.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wengine lockup ndo kwetu, tumelala sana humo, ukiingia tu utasikia eeeh mkuu ushirombo umerudi tena?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh! Wakuu, nilikuwa nasikia tu kwa wengine. Jana nimelala Lock up kwa mara ya kwanza. Kwanza nimedakwa nikatiwa bangili, then nikapandishwa kwenye farasi mweupe then moja kwa moja kituoni (jina la kituo not disclosed) kwa kuwa uchunguzi unaendelea bado, ila in short ni case ya kubambikiwa.

Nilivyofika kwanza unakuwa traumatized na kupanic juu maana huelewi kwanini umekamatwa na pia zile kelele za kule ndani, mixer harufu, mixer matusi ya mapoti, yaani ni experience mbaya sana plus kupigwa pingu mtaani mbele ya watu wanaokuheshimu yani acheni tu Wakuu.

Leo ndio nimetoka kwa neema za Mungu ila bado nitaendelea ku-report. Tujitahidi kuwa waangalifu ndugu zanguni maana nimeamini wengi walio lockup hawana makosa wengi ni kubambikiziwa na pia hakuna uchunguzi uliokamilika hadi unapokamatwa, very disappointing.

Sent using Jamii Forums mobile app
Una uhusiano wowote na Chadema?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom