Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,108
- 37,644
Niliwahi tiwa lock up SA, pumbavu wale walinikamata na Mpunga wng na wakautumia huo huo kunikatia ticket ya Kipawa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Wakuu, nilikuwa nasikia tu kwa wengine. Jana nimelala Lock up kwa mara ya kwanza. Kwanza nimedakwa nikatiwa bangili, then nikapandishwa kwenye farasi mweupe then moja kwa moja kituoni (jina la kituo not disclosed) kwa kuwa uchunguzi unaendelea bado, ila in short ni case ya kubambikiwa.
Nilivyofika kwanza unakuwa traumatized na kupanic juu maana huelewi kwanini umekamatwa na pia zile kelele za kule ndani, mixer harufu, mixer matusi ya mapoti, yaani ni experience mbaya sana plus kupigwa pingu mtaani mbele ya watu wanaokuheshimu yani acheni tu Wakuu.
Leo ndio nimetoka kwa neema za Mungu ila bado nitaendelea ku-report. Tujitahidi kuwa waangalifu ndugu zanguni maana nimeamini wengi walio lockup hawana makosa wengi ni kubambikiziwa na pia hakuna uchunguzi uliokamilika hadi unapokamatwa, very disappointing.
Sent using Jamii Forums mobile app
daah bora hata wangekuachia huo mpungaNiliwahi tiwa lock up SA, pumbavu wale walinikamata na Mpunga wng na wakautumia huo huo kunikatia ticket ya Kipawa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Si mimi nilosema ,kuna mkuu kasema unavua mpaka "singlend"(fulana) I can imagine na hiki kifua changu bila nguowewe mwanamke wewe unataka kugundua nini?
Pole sana mkuu, nadhani wanawake wana za kwao pia maana sipati picha wakichanganywa pamoja duh, hakutatulia humo ndaniAsante, kwani nilikua na mkanda hata! nilikua nimetoka zangu dukani ndio nikashikwa, ila nilivua tu sandals pale kwa afande then nkaingizwa ndani ya chumba, hivi lock up kuna za wanawake pia au? Maana sikuona mwanamke yoyote kule
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks, duh eeh maana mmoja alinitisha alisema wewe nitakuminya hadi useme ukweli, ila ndo ivyo haikunikuta bado process ilikuwa ianze kesho but majaliwa nimetoka leo, ila kama ningepewa kisago nina mtu wa karibu ni mwanasheria nguli ningefungulia mtu mashtaka maana najua ingefika mahakamani ningepatikana tu sina hatia,
Sent using Jamii Forums mobile app
Wait..hvi n kweli huko cell kuna mtu kama nzi Wa kijani..yaani waneneeee au ni tango pori tu nalishwanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Nlimaanisha Mbusijakuelewa kwa kweli, yani unauliza kama kuna mtu mnene huko lock up? Kwani mtu mnene hafanyi makosa?
Sent using Jamii Forums mobile app
MKUU hebu tupe mrejesho kuhusu huko. Nasikia ukipewa SIGARA UVUTE..USIKU UNADAIWA NA VIDUME..ni kweli ?Duh! Wakuu, nilikuwa nasikia tu kwa wengine. Jana nimelala Lock up kwa mara ya kwanza. Kwanza nimedakwa nikatiwa bangili, then nikapandishwa kwenye farasi mweupe then moja kwa moja kituoni (jina la kituo not disclosed) kwa kuwa uchunguzi unaendelea bado, ila in short ni case ya kubambikiwa.
Nilivyofika kwanza unakuwa traumatized na kupanic juu maana huelewi kwanini umekamatwa na pia zile kelele za kule ndani, mixer harufu, mixer matusi ya mapoti, yaani ni experience mbaya sana plus kupigwa pingu mtaani mbele ya watu wanaokuheshimu yani acheni tu Wakuu.
Leo ndio nimetoka kwa neema za Mungu ila bado nitaendelea ku-report. Tujitahidi kuwa waangalifu ndugu zanguni maana nimeamini wengi walio lockup hawana makosa wengi ni kubambikiziwa na pia hakuna uchunguzi uliokamilika hadi unapokamatwa, very disappointing.
Sent using Jamii Forums mobile app
Gari inahuskaje hap0!!!??? Wabongo misifa camp tujue una ki mkokoteni???Nlikamatwa Iringa 2008 Miami bar sa7 usiku gari nikaiacha bar nikapandishwa karandinga ila sikulala ndani
Sent using Jamii Forums mobile app
Urongo live imekataa in kujaNiliwahi tiwa lock up SA, pumbavu wale walinikamata na Mpunga wng na wakautumia huo huo kunikatia ticket ya Kipawa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulimdhamini mtu nini?Mkuu asante, nasema tuwe makini na watu tunao jiassociate nao, mfano mtu anaweza kuwa katenda kosa then ukaja tu bambikiwa wewe either kwa sababu unafahamiana naye, au akaamua tu kukutupia wewe case nk.. yani ni story ndefu mkuu na siwezi elezea kisa changu kwa sasa, ila ni nature kama hiyo. Kambaku,
Sent using Jamii Forums mobile app