Sitasahau siku nilivotaka kupewa kesi ya ujasusi katika nchi ya ng'ambo wakati sijui lolote kuhusu ujasusi

Yaani Ujajusi wa Camera za kuogea bafuni?Hivi unajua maana ya Ujasusi kweli?
Yaani Wabelgeji ningewaona wapumbavu sana kama wangekukamata na kukufungulia mashtaka ya kufanya Ujasusi wa Camera bafuni MTU akiwa anaoga..hiyo ni Chabo!
Kama ulikuwa hujui hapo Brussels ni kitovu cha Majajusi duniani Ila nikuthibitishie tu kuwa hakuna ujasusi wa kipuuzi kama huo uliolezea hapo.
 
Habari wadau,

Poleni na majukumu ya kila siku ya ujenzi wa taifa. Ki ufupi sana story yangu ni.

Mwaka 2015 had 2017 nilipata kuishi ulaya ktk Mji wa Brussels nchini Ubelgiji. Kuweka wazi mimi nilikuwa mwanafunzi nikiwa nasoma masomo ya shahada ya uzamili yaani masters. Kulikuwa na hostel za chuo ambako mimi na wanafunzi wenzangu kutoka mataifa mbalimbali tulikuwa tunakaa. Design ya vyumba vyao ilikuwa kila chumba ni self contained lkn jiko liko sehemu nyingine mnashare wanafunzi sita japokuwa jikoni kila mtu ana maloka yake. Sasa chumba cha pembeni yangu upande mmoja kulikuwa kuna jirani ambaye alikuwa Mkenya. Kama mnavojua ktk magorofa direct za washroom huwa zinakuwa arranged ktk namna ambayo vyumba jirani vinakuwa vinashare system moja hivo vitawekwa karibu.

Sasa huyo jirani yangu mkenya alikuwaga na boyfriend wake ambaye ni mkenya pia alikuwa anaingia ktk hicho chumba wanafanya yao kwa kipindi kirefu sana na kila mtu alikuwa anajua hao ni wapenzi. Mimi na huyo jirani tulikuwaga na mawasiliano mazuri tu. Sasa huyo dada ambaye alikuwa jirani yangu wakagombana na boyfriend wake walipigizana kelele sana.

Sasa kwa kuwa wote tulikuwa wanafunzi mida ya kuamka kwenda darasani inafanana sasa yeye akiingia chooni kwake kuoga asubuhi anasikia na mimi nimeingia, sasa akawa anafatilia hiyo trend kwa muda mrefu sasa atafikiria kuwa mimi nimeungana na yule ex wake tumefunga kamera chooni kwangu ambazo zina uwezo wa kuona through wall kumuona yeye akiwa huko washroom kwake, yaani mimi nimekodiwa kufanya kazi ya spying au kufatilia yeye hasa kumuangalia akiwa uchi.

Hivyo siku moja akatoka chumbani kwake akaja chumbani kwangu akiwa amevaa kanga tu akatukuta mimi na washikaji wawili tumekaa pale akasema amenifuatilia kwa muda mrefu yy akiingia chooni kwake na mimi naingia chooni kwangu hivyo anahisi mimi nimefunga kamera ambazo zinaweza ona kwenye ukuta kuchugulia yeye na kuchukua picha zake za uchi ili tuzitumie against her na mimi nafanya kazi hiyo kwa kukodiwa na ex wake. Yaani am spying on her.

Kwa hiyo amekuja chumbani kwangu ili avue nguo zake zote ili nimuone niache kutumia makamera so akataka kudodosha ile kanga, washikaji wakaanza kumsihi asifanye hivo kwa kuwa hawaami kama mimi naweza kufanya hivo. Sasa yeye akasema awapigie polisi waje wafanye upekuzi kwa kuwa anahisi mimi nina mitambo ya kufanya ujasusi

police wakapigiwa wakaja wakapekua chumba wakakuta nothing unusual wakasema hakuna shida ila wataendelea kufuatalia. Badae niliamua kuhama ktk hiyo hostel kabisa.

So ndo hivo nilivotaka kuangukia ktk kashfa za ujasusi ambazo hata sijawahi kufikiria.

Hivi ingethibitika kuna kamera nini kingetokea ?

Ahsanteni nimeandika kwa urefu ili mupate picha kamili.
Duuuh hii ni hatari. Pole sana
 
Huo sio ujasusi boss. Huo ni peeping Tom au voyeur yaani kupiga chabo kwa kutumia teknologia.
Kama ingekuwa kweli ungeshtakiwa kwa kosa linaloitwa Invasion of privacy.
 
Yaani Ujajusi wa Camera za kuogea bafuni?Hivi unajua maana ya Ujasusi kweli?
Yaani Wabelgeji ningewaona wapumbavu sana kama wangekukamata na kukufungulia mashtaka ya kufanya Ujasusi wa Camera bafuni MTU akiwa anaoga..hiyo ni Chabo!
Kama ulikuwa hujui hapo Brussels ni kitovu cha Majajusi duniani Ila nikuthibitishie tu kuwa hakuna ujasusi wa kipuuzi kama huo uliolezea hapo.
Bora umeniambia ndg yangu
 
Habari wadau,

Poleni na majukumu ya kila siku ya ujenzi wa taifa. Ki ufupi sana story yangu ni.

Mwaka 2015 had 2017 nilipata kuishi ulaya ktk Mji wa Brussels nchini Ubelgiji. Kuweka wazi mimi nilikuwa mwanafunzi nikiwa nasoma masomo ya shahada ya uzamili yaani masters. Kulikuwa na hostel za chuo ambako mimi na wanafunzi wenzangu kutoka mataifa mbalimbali tulikuwa tunakaa. Design ya vyumba vyao ilikuwa kila chumba ni self contained lkn jiko liko sehemu nyingine mnashare wanafunzi sita japokuwa jikoni kila mtu ana maloka yake. Sasa chumba cha pembeni yangu upande mmoja kulikuwa kuna jirani ambaye alikuwa Mkenya. Kama mnavojua ktk magorofa direct za washroom huwa zinakuwa arranged ktk namna ambayo vyumba jirani vinakuwa vinashare system moja hivo vitawekwa karibu.

Sasa huyo jirani yangu mkenya alikuwaga na boyfriend wake ambaye ni mkenya pia alikuwa anaingia ktk hicho chumba wanafanya yao kwa kipindi kirefu sana na kila mtu alikuwa anajua hao ni wapenzi. Mimi na huyo jirani tulikuwaga na mawasiliano mazuri tu. Sasa huyo dada ambaye alikuwa jirani yangu wakagombana na boyfriend wake walipigizana kelele sana.

Sasa kwa kuwa wote tulikuwa wanafunzi mida ya kuamka kwenda darasani inafanana sasa yeye akiingia chooni kwake kuoga asubuhi anasikia na mimi nimeingia, sasa akawa anafatilia hiyo trend kwa muda mrefu sasa atafikiria kuwa mimi nimeungana na yule ex wake tumefunga kamera chooni kwangu ambazo zina uwezo wa kuona through wall kumuona yeye akiwa huko washroom kwake, yaani mimi nimekodiwa kufanya kazi ya spying au kufatilia yeye hasa kumuangalia akiwa uchi.

Hivyo siku moja akatoka chumbani kwake akaja chumbani kwangu akiwa amevaa kanga tu akatukuta mimi na washikaji wawili tumekaa pale akasema amenifuatilia kwa muda mrefu yy akiingia chooni kwake na mimi naingia chooni kwangu hivyo anahisi mimi nimefunga kamera ambazo zinaweza ona kwenye ukuta kuchugulia yeye na kuchukua picha zake za uchi ili tuzitumie against her na mimi nafanya kazi hiyo kwa kukodiwa na ex wake. Yaani am spying on her.

Kwa hiyo amekuja chumbani kwangu ili avue nguo zake zote ili nimuone niache kutumia makamera so akataka kudodosha ile kanga, washikaji wakaanza kumsihi asifanye hivo kwa kuwa hawaami kama mimi naweza kufanya hivo. Sasa yeye akasema awapigie polisi waje wafanye upekuzi kwa kuwa anahisi mimi nina mitambo ya kufanya ujasusi

police wakapigiwa wakaja wakapekua chumba wakakuta nothing unusual wakasema hakuna shida ila wataendelea kufuatalia. Badae niliamua kuhama ktk hiyo hostel kabisa.

So ndo hivo nilivotaka kuangukia ktk kashfa za ujasusi ambazo hata sijawahi kufikiria.

Hivi ingethibitika kuna kamera nini kingetokea ?

Ahsanteni nimeandika kwa urefu ili mupate picha kamili.
Duh! Na.huo.ndio.ujasusi. ama kweli

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Yaani hisia zake anazilazimisha kwenye uhalisia!

Hata hivyo, kuna camera inayoweza kupenyesha mionzi yake ukutani na kuchukua image upande wa pili?

Hii sijawahi kusikia!

Pole, ninadhani hukuenda mbele zaidi ya kumchunguza sababu ya chuki zake hizo.
Saazingine wewe ni mzuri sana wa maumbo, sasa aliweka hisia mbaya kuhusu kisababishi cha kusambaratika kwa penzi lake.

Ama ni wivu tunaosemaga wa kike yaani gere chimbuko likiwa ni shepu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Brussels ni jiji la majasusi, majasusi yanapigana vikumbo kutoka kila Kona ya Dunia.
Ila huo wako,hata kama ungekuwa umefanya siyo ujasusi ,tafuta jina lingine.
 
Ndezi kweli wewe. Unaufahamu UJASUSI wewe?. Ujasusi ni kitendo cha nchi nyingine kuichunguza nchi nyingine kwa njia yoyote ile. Sio yako hiyo

Nimesoma kichwa cha habari nimeingia king,nikajua nasoma habari za kilume ndagu

Wanaofanikiwa kuingia ng'ambo wengi kati yao ni maboya boya tu. Mtu kuchunguliana K unaita Ujasusi....!!?
 
Ujasus ni mbali sana.alitaka akupe kesi ya UMBEYA kufuatilia mambo binafsibya watu kwa manufaa ya mtu mmoja, x wake..Ujasus is above that.
 
Habari wadau,

Poleni na majukumu ya kila siku ya ujenzi wa taifa. Ki ufupi sana story yangu ni.

Mwaka 2015 had 2017 nilipata kuishi ulaya ktk Mji wa Brussels nchini Ubelgiji. Kuweka wazi mimi nilikuwa mwanafunzi nikiwa nasoma masomo ya shahada ya uzamili yaani masters. Kulikuwa na hostel za chuo ambako mimi na wanafunzi wenzangu kutoka mataifa mbalimbali tulikuwa tunakaa. Design ya vyumba vyao ilikuwa kila chumba ni self contained lkn jiko liko sehemu nyingine mnashare wanafunzi sita japokuwa jikoni kila mtu ana maloka yake. Sasa chumba cha pembeni yangu upande mmoja kulikuwa kuna jirani ambaye alikuwa Mkenya. Kama mnavojua ktk magorofa direct za washroom huwa zinakuwa arranged ktk namna ambayo vyumba jirani vinakuwa vinashare system moja hivo vitawekwa karibu.

Sasa huyo jirani yangu mkenya alikuwaga na boyfriend wake ambaye ni mkenya pia alikuwa anaingia ktk hicho chumba wanafanya yao kwa kipindi kirefu sana na kila mtu alikuwa anajua hao ni wapenzi. Mimi na huyo jirani tulikuwaga na mawasiliano mazuri tu. Sasa huyo dada ambaye alikuwa jirani yangu wakagombana na boyfriend wake walipigizana kelele sana.

Sasa kwa kuwa wote tulikuwa wanafunzi mida ya kuamka kwenda darasani inafanana sasa yeye akiingia chooni kwake kuoga asubuhi anasikia na mimi nimeingia, sasa akawa anafatilia hiyo trend kwa muda mrefu sasa atafikiria kuwa mimi nimeungana na yule ex wake tumefunga kamera chooni kwangu ambazo zina uwezo wa kuona through wall kumuona yeye akiwa huko washroom kwake, yaani mimi nimekodiwa kufanya kazi ya spying au kufatilia yeye hasa kumuangalia akiwa uchi.

Hivyo siku moja akatoka chumbani kwake akaja chumbani kwangu akiwa amevaa kanga tu akatukuta mimi na washikaji wawili tumekaa pale akasema amenifuatilia kwa muda mrefu yy akiingia chooni kwake na mimi naingia chooni kwangu hivyo anahisi mimi nimefunga kamera ambazo zinaweza ona kwenye ukuta kuchugulia yeye na kuchukua picha zake za uchi ili tuzitumie against her na mimi nafanya kazi hiyo kwa kukodiwa na ex wake. Yaani am spying on her.

Kwa hiyo amekuja chumbani kwangu ili avue nguo zake zote ili nimuone niache kutumia makamera so akataka kudodosha ile kanga, washikaji wakaanza kumsihi asifanye hivo kwa kuwa hawaami kama mimi naweza kufanya hivo. Sasa yeye akasema awapigie polisi waje wafanye upekuzi kwa kuwa anahisi mimi nina mitambo ya kufanya ujasusi

police wakapigiwa wakaja wakapekua chumba wakakuta nothing unusual wakasema hakuna shida ila wataendelea kufuatalia. Badae niliamua kuhama ktk hiyo hostel kabisa.

So ndo hivo nilivotaka kuangukia ktk kashfa za ujasusi ambazo hata sijawahi kufikiria.

Hivi ingethibitika kuna kamera nini kingetokea ?

Ahsanteni nimeandika kwa urefu ili mupate picha kamili.
Wewe ni msomi wa masters kweli? Unaelewa maana ya ujasusi?
 
IMG_20211204_051407.jpg
 
Dah!! Umeuwa vibe. Nimekuja mbio nikajua picha flani la kibabe amazing kama la Dr Shika akiwa Russia. Nxt time usitumie neno 'Jasusi'. Wewe ulitaka kusingiziwa umbeya.
 
Back
Top Bottom