Sitasahau P.E.

Bome-e

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
17,104
26,069
Nimeweka humu ila hii ni true story!
P.E=pumbu erosion:
kipindi hicho mazengo kabla haijawa saint john university sisi ndio tulikuwa wanafunzi wa mwisho mwisho!Sasa vyoo vilikuwa vimejaa,iliusiugue ugonjwa huo ilitakiwa kila ukienda haja kubwa basi lazima uoge na ujifute vizuri!Hali ilikuwa mbaya kiasi kwamba ukiingia toilet na nguo basi ukienda popote watu wanajua umetoka toilet kutokana na harufu itakayobaki kwenye nguo!Basi nguo tulikuwa tunavua nje,unatembea mita kama 10 kuingia toilet ukiwa na boxer!Vyoo vilikuwa vya nje tu lakini pia vya shimo!
Ukitoka toilet,unapiga cross na ndoo mpaka bafuni,unaoga na kujikausha vyema ndio unarudi kuvaa nguo zako ulizoacha nje na kurudi darasani!
Tulikuwa na nesi dispensari ya shule na alikuwa wa kike!Watu waliona haya kwenda kutibiwa maana walilazimika kuvua nguo ili nesi aone umeathirikaje!Hivyo tukatafuta super killer,hii spirit tulinunua mtaani!Hii haijalishi ugonjwa uko hatua gani,yenye inaunguza tu na unapona!Kwenye kupona ile ngozi ya juu yote ya korodani inaungua na kuwa kama baka kisha inabanduka taratibu!Baada ya hapo unabaki na korodani nyekundu mpaka baada ya muda zinarudi kwenye hali yake ya weusi!
Daaaaah,kitambo sana!Watoto wa sasa mayai sana,hawajui struggle kabisa
 
umenikumbusha sekondari bodingi acha nicheke kwanza haaahahah
kuna mshkaji alikuwa pusha wa ganja pale skuli alikuwa msela wetu sana sasa siku moja alisanukiwa anauza ganja kiranja mkuu akatumwa akamsachi loka lake hahahaha
jamaa akasanuka bwanaa alivyoona kiranja anakuja akabeba kopo lale la omo limejaa mmea mbiooo hadi chooni akalitumbukiza choo za skuli zilikuwa mavi yako hadi mdomoni jamaa akawa analzmisha kopo lizame hadi akakutwa akapewa saspaa
 
Back
Top Bottom