Sitasahau mwaka 2002 ndugu yangu alipochunwa ngozi wilaya ya Mbozi wakati huo ilikuwa mkoa wa Mbeya

So sad kwa kweli,nikiwa mtoto kipindi hicho Giza likiingia Kila aliyeonekana na begi ni mchuna ngozi,nakumbuka siku moja niliagizwa kukiwa na ka Giza hivi niliona Kama mtu amejificha hv,daaaah nilipiga yowe kubwa wachuna ngoziiiiiiiiiiii hahahahaha
 
Sambamba hilo atamimi ilitokeaga kule rungwe.wakati huo Nilijenga kinyuma kidogo niliezekea nyasi yan geto nilivamiwa usiku wakanikamata nilijaribu kupga kelele sauti haikutoka wakanivua nguo zote wakanichunguza mwili mzima afu wakaniacha wakasepa.nikatoka nje nikaenda kuwaambia wazazi wakashangaa sana hawakuamini.badae mzee akaniambia wameona ngozi yako inamakovu ndo mana wamekuacha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbozi ndio sehemu inayoongoza kwa matukio ya Kinyama

Miaka ya 2000's kuna jamaa huko mbozi ndugu yao alipigwa mpaka akafa na sababu ilikuwa ni mwizi sasa familia iliyoshiriki kumuuwa yule jamaa baada ya siku mbili ikavamiwa na ndugu wa Marehemu ambao ni Wanyiha wako na mapanga, lungu Mashoka wakenda wakaanzisha tifu kwaajili ya kulipiza kisasi

Aisee ndugu wa jamaa aliyeuwawa wakafanikiwa kumkamata mtu mmoja wa familia ile iliyotekeleza mauaji walichokifanya ni kumkamata na kumfunga kamba ili asiweze kukimbia

Kilichofuata jamaa wakammbeba kwenda kumzika mzimamzima ili kulipiza kisasi cha damu ya ndugu yao

Upande wa jamaa ambao ndugu yao kaja kukamatwa wakaenda polisi kutoa taarifa kuwa tumevamiwa na watu na wamemchukua ndugu yetu polisi fasta wakatoka na defender kwenda kuwafuatilia jamaa

Mwisho wa siku polisi na ndugu wa jamaa waliambiwa ndugu yao ameshazikwa mzimamzima baada ya kwenda kumfukua kwa bahati mbaya ikawa tayari ameshatangulia mbele za haki

Jaman hivi nyinyi wanyia na watu wa Mbozi, Mlowo, Vyawa nyinyi ni wabongo au wazambia? Maana mnaroho ngumu sana
Ngumu na mbaya Kuna ile kauli Yao sijui wanaitaje kilugha

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom