Sitasahau biashara ya uchimbaji ilivyonifilisi

Nimesoma msgs zote..tatizo Watanzania hawataki kushirikiana ..Kama mkiuungana hata mtaji ukikata kila mmoja anakuwa hajapata hasara kubwa..Tujifunze kwa Jews 🙏
 
Hujataka kushirikiana na watu wewe kuna watu humu wanasema mtaji kidogo wengine hawana nafasi Ila wakipata muaminifu wapo tayari.

Fanya hivi pitia huu uzi wote kisha watagi wote na uwaambia upo tayari kushirikiana na mpendekeze mkutane field sio bar yaan kondoa au sehemu salama mkubaliane mjirizishe kuaminiana mfano mwenye mbuz 5,10, 14, 19, 23, 35 kila mtu anaweka alama yake mnapakia kwenye Gari moja kwa maana mnachanga usafir pia hata kibali mnakata pamoja mkija kuaminiana sananhuko baadae mnakuwa mnasupply kama kampuni ikiwa na mana mtakuwa mmekuza mtaji hvyo mtakuwa mnakusanya wengi kwa wakati mmoja.

Naamini hata huko mnapouza watataka watu au kikundi kitakachoweza kusupply mbuzi wengi ONCE hii itaongeza kurahisisha jinsi ya kulipwa mapema pengine kuwa na bei nzuri yaan mnaweza kaa mezani kuongea kuhusu Bei.
Motivational speakers mnakuaga na Maneno matamu tamu Sana.
 
Mkuu pole Sana, mm kwa kias flan ninaelewa shughuri za uchimbaji wa madin haswa dhahabu na Gem stone haswa kwenye kundi la PML. (Primary mining Licence). Nimechimba Sana hapa bongo na nilikuwa na hiyo lesen ya PML.

Pia nimechimba nje ya nchi mfano, msumbiji kule Jimbo la TeTe -shimoyo, mgod wa susundega, Jimbo la Cabdrigado, Nimechimba Sana kule Zimbabwe machimbo ya mutare na machipanda na kwingineko.

Nimekufuatilia umeongea ukweli mtupu.

Lakin kati ya yote nimependezwa sna na roho ya kutokata tamaa. Nimefurah kuona ulisimama upya na maisha yakaenda.

Kiukweli hii biashara nzuri lakin ikikukalia vibaya unafirisika. Haswa hapa kwa waganga ndo tatizo kubwa. Kama ulivyoshaur, ni vyema Kama mtu mtaji mdogo ukafanya biashara ndogo mgodin inalipa Sana.
Ila kwa upande wangu, niliamua kuwekeza kwenye vat-leaching, nikaachana na mambo ya kumiliki maduara au kudhamini. Pasua kichwaaa

Ikabidi nijenge matank, ninunue malundo na kuozesha, nikapata mkemia mzuri kutoka zimbabwe. Maisha ya kaenda.

Changamoto kubwa ya hapa ni ukosefu wa wataalam na mahabara za kutoa majibu sahihi ya vipimo vya lundo kabla ya kulinunua. Unaweza kupeleka mahabara wakapima wakakupa majibu fake ..

Changamoto nyingine ilikuwa kupata vibali vya serikali kudeal na chamical za kuozesha ikiwemo sayanadi na cabon. Na pia watu wa mazingira NEMKWA wanazingua sana.

Na sehem ya kwenda kuchoma cabon ilikuwa ni changamoto Sana. Kwa hapa tz ilitubidi tusafir had mwanza pale Gema tech...

Tuendelee kukaza. Marufuku kukata tamaaaa
 
Mkuu ninashukuru sana kwa mchango wako ila ukweli ni kwamba wachimbaji wadogo wana changamoto kubwa sana ya kukosa elimu, ujuzi na mitaji, Kwa sasa kama unafanya uchimbaji mdogo lazima uwe na plan mbili kwanza kuna wanaochimba ili kupata dhahabu yaani mwamba wenye dhahabu kbsa lakin pia kuna watu wanachimba huku wakiwa wanasaka malundo kwa kupima ppm ya mwamba yaani ikitokea amekosa dhahabu kama ppm inasoma vizur basi anauhakika wa kupata lundo na kupeleka plant lakini kwenye hatua hiyo inahitaji mtaji na ujuzi na ni kweli kwenye upimaji wa sample pia kuna tatzo katika hizi maabara na pia kwenye uchenjuaji panahitajika mkemia mzuri ili uweze kupata ile quality nzuri ya gold ila yote kwa yote ni kazi yenye risk kubwa ila pia ni kazi nzuri, tuendelee kupambana
 
Similar Discussions

124 Reactions
Reply
Back
Top Bottom