Sitarajii Kuoa Waziri kutoka Baraza la Mawaziri Mimi Deogratius N Kisandu.

Kisandu natambua kwamba wewe ni mtu uliyekuwa na maono sana.Lakini kwa post zako niko convinced kwamba something is wrong with you brother.Unahitaji maombi na counseling Yesu wa Eucarist hajawahi kushindwa kitu please mshike huyo na nakuombea huruma kuu ya Mingu. GOD makes the way where seems to be there Is no way.
 
"Watu wengi wamekuwa wakifikiria kuwa labda nitaoa Waziri mmoja kati ya Mawaziri wanawake."


Hadi leo najaribu kujiuliza hao watu wengi ni kina nani?
 
watanzania wenzangu huyu bwana kisandu anahitaji msaada wa haraka akili yake nina mashaka nayo
 
Back
Top Bottom