Sitaomba kazi tena, wacha niwe jeuri tu!!

Write your reply...Ndugu yangu unapo soma siyo kwa ajili ya kupata ajira, na sababu kubwa mpaka hapa tulipo tulijengewa kuwa mpaka usome nje ya nnchi na uwe na wakukushika mkono, ndiyo maana walio soma wengi wapo vijiweni au wanafanya kazi tofauti na masomo yao, hata wauza kabichi wamesoma pia madereva wamesoma pia, wabeba mizigo wamesoma pia. Angalia wewe upo wapi.
 
Mwanetu INSIDER MAN ...

Fanya mpango niwe hata kwenye biashara zako.
Elimu- degree ya uhasibu
Makazi- Dar es salaam

Kama kuna connection ya kazi yeyote kwenye pitapita zako, nipo tayari kuzifanya.
 
Wakuu naandika huu uzi inshort nmeridhika sahivi sina hta nyege ya ku apply kazi yotote ile kama kutafuta kazi nmetafuta nimechoka na upper second nzuri tu lakin ndo hvo nmeenda kila kona patupu, nmeenda taasisi zote unazozijua wewe hapa dar patupu, nimefanya kila naloweza fanya nipate hta connection patupu, sisi watoto wa wakulima ambao hatuna ndugu huko maofisin iwe bahat yako tu, nimeshangaa hapa mtaani mtoto wa mtu mkubwa tu hana kazi tunacheza ps wote kitaa.

Sasa sahiv me si apply kazi kama ipo, ipo tu siforce mambo huwez jua mungu ananiepusha na nini, utakuta mtu anatafuta kazi anaandika uzi humu Jf lijitu linatoka wapi lina comment shit eti jiajir how wkt sina pesa, ukisema uende bank unakutana na collaterals mwingine anakwambia uza mchicha, nyanya hivi msom wa chuo auze nyanya gengen kwel?? Au mwingine anakwambia uza karanga wtf??. Afu wa form4 afanye nn??

Nashukuru mungu wazaz wangu ni wazma wote nakula, nakunywa wanajua hali halis sina kaz wananihidumia. Nikiamka asbh nakunywa chai fresh, mchana nakula usik nakula maisha yanatak nn kwangu. Nikichoka naenda seblen kuchek movie sina habar life linaenda nimepoteza pesa nyingi kutafuta kaz bila mafanikio sasa nimeamua kutuliza akili. Kama biashara nilianza ikafa utanambia nn nifanye?.

Wale jobseekers wenzangu tusikate tamaa kama ipo ipo tu usiforce mambo. Wanaokwambia fanya biashr unakuta yy anakaz na mikopo anayo. Trust nobody except your parents and Live your life.

umekosea hapo trust nobody expceptโ€ฆ..

hii haina except
just trust nobodyโ€
 
Tafsiri maana ya Elimu na hiyo upper nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom