sitanii

zakiyah

JF-Expert Member
Nov 4, 2011
297
113
mimi nipo tayari upo serious?

humu wasanii wengi be care! wengine wanatafuta dem wanaandika wanatafuta mke/wake sijui wabongo vp sie?. tuache jamani tabia ya kucheza na akili za watu. kama upo serious ndio uweke post hiyo ya kutafuta mke/mume.
 
Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
12,353
16,614
humu wasanii wengi be care! wengine wanatafuta dem wanaandika wanatafuta mke/wake sijui wabongo vp sie?. tuache jamani tabia ya kucheza na akili za watu. kama upo serious ndio uweke post hiyo ya kutafuta mke/mume.

Acha fitina
 
LD

JF-Expert Member
Aug 19, 2010
3,014
563
Mmmh mbona huo mwaliko unatisha hivyo? Mmmh manake napiga picha ndio nim ku-PM....unasikia eeh, we unaitwa nani! Unakaa wapi! Unafanya kazi wapi! Duh au we mwanajeshi? :(
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom