Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,597
- 215,272
It’s trueMkuu hii kali!!
It’s trueMkuu hii kali!!
Kivipi mkuu funguka.It’s true
Unafanyaje application
Kinachonishangaza ina maana huyu Mdau hakufanya home work yoyote kabla kufuga? maana utitiri haipaswi kuwa ni changamoto kubwa kwa mfugaji mwenye nia ya dhati.Tumia AKHEIR POWDER itamaliza hao wadudu
Huyo jamaa atakuwa mfupi sanaPole sana mkuu licha ya kuwa vidole vyako viko katika uniform height.
Siku utitiri ukihamia kwenye nyumba yako ya kulala utatamani kuihama hata nyumba maana hautalala.Nilitamani kufuga kuku wa kienyeji ili nivune mazao yao.
Changamoto ninayoipata ni wadudu jamii ya utitiri. Yaani ukienda kuwafungulia banda lao unakumbana na utitiri wa kufa mtu. Hapa nilipo mwili mzima unawashwa kwa sababu ya kung'atwa na hivi vijidudu, nimevipangusa kutoka mwilini zaidi ya 100. Mwili umevimba kwa kujikuna, sitaki tena hawa kuku wa kienyeji bora niendelee kununua mayai.
Kama kuna mtu anajua dawa/mbinu ya kuwaangamiza hawa wadudu anisaidie.
Naleta na picha ya jinsi nilivyojikuna, hadi nguo zote nimevua.View attachment 1087682
Tangu nizaliwe , ndio kwanza nasikia kuna vidole vinafanana na vifaranga...unashambuliwa sana kwa sababu vidole vyako vimefanana na vifaranga, vaa mabuti
Wanafaa kuchinja?Nisipopata solution sifugi tena, hiyo ndo dhamili yangu maana sio kwa kero hii ya utitiri
Tangu nizaliwe , ndio kwanza nasikia kuna vidole vinafanana na vifaranga...
Omba radhi mkuu..!!
We kweli nyoko , ila nisamehe kwa kauli hiyo..Viangalie hivyo vodole kwa makini, vina mahipsi
Mkuu kwa nini wadudu wadogo namna hiyo na wasiyo na akili wanataka kukushinda maarifa. Utitiri ni rahisi sana kuumaliza. Kwanza nikukumbushe: hasara ya utitiri siyo wewe kuwajikuna tu ila hata kuku wanadhoofika sana. Hao utitiri huenda wanakuja na kuku unaonunua kwani sehemu za vijijini ni wengi. Dawa ya utitiri ni 1. Usafi kwenye banda la kuku: Usiacha matakataka mengi na jaribu kumwagilia maji kila siku ili kupunguza vumbi kwani utitiri kamwe hawawezi kuishi kwenye unyevu. Nguzo na kona zote za banda hakikisha hazina mavumbi. (ila usitengeneze tope) 2. Kuna dawa ya unga unashika kuku mmoja mmoja unamnyunyizia na kuhakikisha dawa imeingia kwenye manyoya yote. Rudia zoezi kulingana na matumizi ya dawa mpaka uhakikishe wameisha. Hata wakiisha zingatia usafi na kunyunyizia dawa. Utitiri ni rahisi sana kuudhibiti.Nisipopata solution sifugi tena, hiyo ndo dhamili yangu maana sio kwa kero hii ya utitiri
Kisichokuua kitakuimarisha!Nilitamani kufuga kuku wa kienyeji ili nivune mazao yao.
Changamoto ninayoipata ni wadudu jamii ya utitiri. Yaani ukienda kuwafungulia banda lao unakumbana na utitiri wa kufa mtu. Hapa nilipo mwili mzima unawashwa kwa sababu ya kung'atwa na hivi vijidudu, nimevipangusa kutoka mwilini zaidi ya 100. Mwili umevimba kwa kujikuna, sitaki tena hawa kuku wa kienyeji bora niendelee kununua mayai.
Kama kuna mtu anajua dawa/mbinu ya kuwaangamiza hawa wadudu anisaidie.
Naleta na picha ya jinsi nilivyojikuna, hadi nguo zote nimevua.View attachment 1087682
We kweli nyoko , ila nisamehe kwa kauli hiyo..
Tangu nizaliwe , ndio kwanza nasikia kuna vidole vinafanana na vifaranga...
Omba radhi mkuu..!!