Nibozali
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 572
- 1,055
Siwezi kusahau kamwe magazeti ya Siku. hii jinsi yalivyopambwa kwa picha nzuri na kuandikwa kwa namna moja. Hii inaonesha namna gani waandishi Wa habari nchini Tanzania wanavyoshirikiana na wanaweza muda mwingine wakatoka na kitu cha aina Moja
Pamoja na hayo tokea Siku hiyo pamoja na mambo mengine, nimekuwa nikijiuliza maswali mengi na majibu nahisi nitayapata baada ya 2025
Kidumu chama chetu! ...........