Sitakujasahau yaliyonikutaga siku ya Valentine

Kujengwa kujengwa kujengwa c ajabu unaishi kwenye nyumba ya kupanga ila unafarijika dar kujengeka.
Ndugu yangu ugenini hatujengi tunaishi kama wahindi,unachokitafuta unawekeza Nyumbani,pensheni yetu sisi wafanyabiashara ni Asset ambayo ni pamoja na Mali kama Nyumba ulizozitafuta ingali ukiwa na Nguvu,unapokuwa umri umekutupa unakura kodi zako tu huku unaitwa mzee
 
U
Cha ajabu kitu gani hapo mkuu?watu wamepanga na wana maisha mazuri kuliko wewe uliyejenga banda la kuku
Unajua wabongo wanajua sana,nashukulu Kwa kunijibia hakuna Elimu nzuri kama kutembea kukutana na watu tofautitofauti,ndiyo maana nikasema watu tuna simulizi nzuri katika maisha yetu lakini unaogopa kusimulia
 
Nina kisa kimoja ambacho nilitoka Mozambique kwenda Malawi na demu Wangu wa kibangubangu bila kujua kumbe nampeleka Kwa Mwanaume mwenzangu,hawa wanawake wa mataifa mengine waogope sana
 
Nipe link ya uyo mzee aliepewa limbwata eti anageuza mchepuko anauita bi mdogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom