GOLDGREEN9
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 351
- 218
Siku ya kwanza tulipokutana high school sikujua kama unamoyo wa namna ile,nilikuchukulia kama mwanamke kama wanawake wengine ,kumbe ulikuwa na kitu cha ziada moyoni mwako.
Mimi niligundua hili nilipokuwa nikifanya speculation kwa wenzangu ulinifanya kutafiti mambo ya ziada kuhus MAPENZI kwa sababu ULINIPENDA SANA ila hukuniambia.
Niligundua siku uliyoumia pale nilipougua na kuonesha UPENDO kwangu.Nilisema bila kusita "NAKUPENDA SANA ,NITAFURAHI KAMA UTAKUWA MKE WANGU BAADA YA MIAKA KUANZIA MINNE BAADAYE" uliponikubalia nimekuahidi watoto wawili tu!!
Kisha nilisema "kuwa huru mim sikulazimishi kuolewa na mim ,ukimpata mwanaume unayefikiri atakuwa bora zaidi ya mimi basi kuwa huru mwambie akuoe".
Then nilikuomba usisite kuniacha pale utakapobadili maamuzi ya kunipenda,Ila Mimi SITAKUACHA mpaka pale pumzi Yangu inakata,Na ukibadili maamuzi ,Olewa tu BUT utabaki kuwa MKE WANGU IMAGINARY because your soul & my soul have been linked by Golden chain (wew ni mwanamke wa kwanza kumpenda SIKUACHI na sitaki kutafuta mwingine baada ya wewe kuniacha ).
Haya ni maneno ya ahadi kwa MKE WANGU MTARAJIWA .