Sitakua mmoja wao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sitakua mmoja wao

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Negotiator, Sep 29, 2010.

 1. Negotiator

  Negotiator JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2010
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Itakapofika October 31 mimi na familia yangu na jamaa zangu wa karibu hatutakua mmoja wa;
  • wale watakaopigia kura wala kuunga mkono chama kilekile kinachokumbatia ufisadi.
  • wale watakounga mkono wadogo zetu ndugu na jamaa kendelea kununua elimu kama bidhaa kutoka shule za serikali
  • wale watakao unga mkono serikali iliyoshindwa kujenga uchumi imara na kulinda thamani ya shillingi yetu
  • wale watakaomtukuza mgombea aliyedharau wafanyakazi, kuwabeza watoto wanaopata mimba wakiwa mashuleni na kunyanyapaa wenye VVU
  • wale watakaoendeleza serikali iliyopelekea upatikanaji duni wa huduma za afya
  • wale watakaoirejesha madarakani serikali iliyokubuhu katika matumizi holela ya kodi za wavujajasho wazalendo
  • watakao ipa ushindi serikali ile ile isiyoheshimu katiba na sheria za nchi
  • watakao ipa mwanya serikali isiyoheshimu uhuru wa vyombo vya habari
   
 2. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimekusikia, nimeshawishika.
   
Loading...