Sitaki wanaume wenye pesa

Sure.

Nashangaa hivi mwenye hela ye ana moyo wa jiwe?, Lol

Mawazo ya watu bwana.

Kama wanaume wanavong'ang'aniza kuwa wanawake wote wanapenda pesa....hivi kweli hakuna mwanamke mwenye moyo wa nyama?? Teh teh
Hahahaa ndo hapo sasa
 
CreditAnalyst
financial services

Hawa ni wataalamu wa masuala ya fedha ngoja watupe maoni yao kitaalamu yahusuyo fedha kwenye mahusiano pengine yatatusaidia
Well kwanza mleta uzi aache generalization si wanaume wote wenye pesa wana tabia mbaya! Kuna wengine akipata pesa anazitumia na familia yake vizuri,so Ni baadhi tu kama ilivo hata kwa wanawake wenye vipato vyao pia.

Pia mleta uzi unafahamu hawa wanaume wanaojiita maskini jeuri? Sasa hawa ni wale labda wasio na pesa ila ni jeuri na wanatabia mbaya vile vile so kuwa makini usije angukia kwa maskini jeuri ikawa mambo yale yale pia.

Katika mahusiano ni suala la kuomba Mungu akupe mtu sahihi wa kufanana naye whether atakua na pesa am hana ila awe na hofu ya Mungu na kama hana mtatafuta wote.

Pesa ni muhimu aisee ikitokea umepata mtu tayari ana pesa basi ni kazi yenu kuziendeleza zisiiishe naa kama ndiyo hana basi no kubweteka jitihada zenu zitawabadilishia status from zero to hero wanaita.
 
Hakuna kazi ngumu kama mwanaume mwenye pesa kupata true love. Hiki ndicho kinawafanya wanaume wa namna iyo kushindwa kuwa na mwanamke mmoja.

Wanawake wa siku hizi mmeendekeza pesa mbele. Mwanaume kama anakausafiri tu akichukua no hata hacukui nguvu nyingu kukutngoza. Na nyie hata hamchelewi kuanza kupiga mizinga. Hata kama anakuhonga ila anakutupa kwenye category ya wadangaji huku akiendelea kutafta true love kwingine.
 
True kabisa.....akipata pesa mwanaume ndo Tabia yake ya kweli hudhihirika
Kauli ya meanaume mcha Mungu ni mfu.
Mapenzi sio dini wala ibada.
Mapenzi ni mahaba toka moyoni.
Unapotaka mcha Mungu ni dalili ya kuogopa kutendwa so unataka likondoo lililozubaa
 
Sio wote lakini, wapo wanaume wenye pesa na wana mapenzi ya dhati + wanaheshimu wanawake wao.

Kuna wanaume wamepaukaa ila kwa kiburi na dharau hawajambo, so hizo ni tabia tu za mtu binafsi, haihusiani na hela

Kwahyo tumepauka
 
Back
Top Bottom