Kifulambute
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 2,539
- 755
Jana nilikutana na ka-window 7 kangu mahali fulanifulani ili tujaribu kuintall software yangu...bwana bwana.....nilikapeleka lodge fulani sikutegemea kanafahamika sana yaani ile kufika tu mhudumu wa lodge akasema....hi marry nikupe room ileile ya kila siku? Dah nikatoa macho mbaya! Kumbe ka-window 7 kangu bwana ni kazoefu kale yaani pale ilikuwa ni home ground. Niliinstall software yangu ila baada ya hapo nikaapa sitaki tena window 7. Cha kushangaza kako very innocent huwezi amini kama kuna mtu anainstall software lakini kumbe ....dah!