Sitaki tena window 7

Kifulambute

JF-Expert Member
May 8, 2011
2,539
755
Jana nilikutana na ka-window 7 kangu mahali fulanifulani ili tujaribu kuintall software yangu...bwana bwana.....nilikapeleka lodge fulani sikutegemea kanafahamika sana yaani ile kufika tu mhudumu wa lodge akasema....hi marry nikupe room ileile ya kila siku? Dah nikatoa macho mbaya! Kumbe ka-window 7 kangu bwana ni kazoefu kale yaani pale ilikuwa ni home ground. Niliinstall software yangu ila baada ya hapo nikaapa sitaki tena window 7. Cha kushangaza kako very innocent huwezi amini kama kuna mtu anainstall software lakini kumbe ....dah!
 
jamani sio kila kitu cha kuelezea humu.maana sielewi unataka kusaidiwa au unatuelezea tu
 
kaazi kweli kweli acha kuinstall software hovyo hovyo computer zingine zimechakachuliwa zina kubali software yoyote
 
Jana nilikutana na ka-window 7 kangu mahali fulanifulani ili tujaribu kuintall software yangu...bwana bwana.....nilikapeleka lodge fulani sikutegemea kanafahamika sana yaani ile kufika tu mhudumu wa lodge akasema....hi marry nikupe room ileile ya kila siku? Dah nikatoa macho mbaya! Kumbe ka-window 7 kangu bwana ni kazoefu kale yaani pale ilikuwa ni home ground. Niliinstall software yangu ila baada ya hapo nikaapa sitaki tena window 7. Cha kushangaza kako very innocent huwezi amini kama kuna mtu anainstall software lakini kumbe ....dah!

kuna funzo hapo na ambalo si kila king'aacho ni dhahabu.............tuwe waangalifu sana katika pitapita zetu tusije kukajikwaa na kudondoka kiujumla.................jumla kabisa..............................na hakuna nafasi ya kuinuka tena.................
 
full pumba sijui mtu anaamka na kupost tuu bila kujua anataka nini

iite pumba lakini asemacho kipo na kitaendelea kuwepo na alichofanya kikubwa kuliko vyote ni kututahadharisha
 
Mkuu sikatai kuwa haya yapo ila mleta mada hajaileta kitaarifa yaani ameleta kama utani
Kuna namna ya utoaji tahadhari au taarifa mkuu na hilo hapa hatujaliona
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom