Sijakuelewa unakataa nini...... sheria hiyo kuja huku au kutumika kule..?Hii nisheria mpya huko ujerumani inayo walinda wanawake na ubakaji. Mwanamke akikwambia hataki umguse au kumtomasa ukaendelea akikushitaki imekula kwako. Je sheria hii inweza rithiwa hapa kwetu ili kumlinda mtoto wa kike na ubakaji?