Sitaki mwanangu ajiingize kwenye tasnia ya sanaa yoyote

Mmmmh! mie kijacho wangu nataka siku moja asimame jukwaa la miss Tanzania Labda tu afuate limwili la baba yake
sasa huko ndo kuna michezo michafu sana ya ngono nimepata story nyingi sana za wadada wanaoshiriki umiss wanafanywa na waandaaji ili wapewe ushindi lakini wap na hawa pati
 
Huo ni ushamba wako tu mbona hatawasioshiriki wako mtaani na wanafanywa tu kila kukicha
 
sikatai usumbufun unakua mdogo.unajua ukiwa star ni kama umejiweka public na nchi yetu ni kubwa ujue sasa jiulize wangapi wapenda malaya watakufata? atleast ukiwa local soko na audience inakua ndogo sio sawa na kujibandika mbele ya watanzania
 
Kumbe hata huelewi soko kubwa la malaya linapopatikana
 
najua ni kwenye tasnia huko naogopa zaidi kwa sababu wakishajua wewe ni fulani watakutafuta tuu. pia malaya wanapatikana bar ila kujianika mtandaoni i hatar zaid
 
Mmmmh! mie kijacho wangu nataka siku moja asimame jukwaa la miss Tanzania Labda tu afuate limwili la baba yake
waangalie mashangazi sana sana........kama wana miili mibaya kazi anayo.
 
najua ni kwenye tasnia huko naogopa zaidi kwa sababu wakishajua wewe ni fulani watakutafuta tuu. pia malaya wanapatikana bar ila kujianika mtandaoni i hatar zaid

tunatofautiana mimi siamini hivyo
 
shida hapa ni nini.

kupata mimba/maambukizi? kama ndivyo basi Thats your failure as a parent. kwanini hukumfundisha kujikinga?

au shida ni rushwa ya ngono? hiyo pia inaweza kuwa kosa lako. hujampa mtoto confidence ya kujithamini na kufanya maamuzi.
au humsupport na anachotamani kufanya basi anaamua vyovyote iwavyo.

au shida ni ngono!!! kwani akienda kusomea udaktari ndo ataolewa bikra!! vitu vingine ni maamuzi ya mtu. wewe unaona kosa mwenzako anakuona wa kale.. theres little u can do about it. labda umfunge camera.
 
lengo langu ni kumweka mbali na mazingira hatari pia nimfunde namna ya kujikinga a maradhi
 
sasa kwani huko kwingine hamna wanaume. inabidi usimpeleke chuo asije akadanganyika na malecturer.

. bora ufocus kwenye kumjenga msichana wako kuliko kufocus kumjengea mazingira.

watoto wanakuwa molested ma mapriest!! the people You Trust the most can be the devils themselves
 
Embu mfunde huyo!
 
Back
Top Bottom