Sitaki kuzini: Sijawahi kuona kama ana dalili za kuoa na sitaki kumwambia unioe

Unzinzi hutokea pale ambapo mmoja au wote mnashindwa kuwa waaminifu ktk uhusiano wenu.
Kama yeye yuko peke yake kwako na wewe uko peke yako kwake then uhusiano wenu unabaraka tele sana, huko kuanguka kiroho kunatoka wapi? Kufanya mapenzi na mchumba wako kunakufanya unaanguka kiroho?
Uzi wako unaonesha mmoja kati yenu si mwaminifu na dhana ya uzinzi inaanzia hapo.
Ushauri wangu ni kwamba shughulikieni suala la uaminifu kwanza ktk uhusiano wenu.
 
Mungu akusamehe na hili.
Ww sema ukwel jamaa umemchoka au umepata mwingine unatafuta mbunu ya kumkwepa hakuna zaid ya hicho kitu kingine hebu achen kucheza na mungu kwa kivuli cha uokovu nawaambia mtakuja kuumbuka kaz kwenu
 
Unzinzi hutokea pale ambapo mmoja au wote mnashindwa kuwa waaminifu ktk uhusiano wenu.
Kama yeye yuko peke yake kwako na wewe uko peke yako kwake then uhusiano wenu unabaraka tele sana, huko kuanguka kiroho kunatoka wapi? Kufanya mapenzi na mchumba wako kunakufanya unaanguka kiroho?
Uzi wako unaonesha mmoja kati yenu si mwaminifu na dhana ya uzinzi inaanzia hapo.
Ushauri wangu ni kwamba shughulikieni suala la uaminifu kwanza ktk uhusiano wenu.
Aisee Chalii yangu hao wanaweza piga hata maombi kabla ya kugegedana na mambo yakawa fresh tu(kila hatua Dua)
 
Baada ya miaka mi 5 ya mtoa mada kumkataa mpenzi tunamkuta yupo madhabahuni anaonbewa apate mume
 
Haya mambo yapo sana..wasio amini lazima watabeza.

Fanya lililo sahihi dear.

Mungu hawatupi walio wake.
Ndio hatuamin awe muwaz tu msela hajampenda Kutoka moyon mbona yule aliye achana nae kwa kukuta sms za mademu wake hakusema anapata changamoto za kiimani
 
Ndio hatuamin awe muwaz tu msela hajampenda Kutoka moyon mbona yule aliye achana nae kwa kukuta sms za mademu wake hakusema anapata changamoto za kiimani
Unazungumzia mtu nliyeachana nae wakati hata kanisa silijui,afu was 2016 kijana,Nnaemzungumzia hapa ni wajuzi tu.
 
Binafsi nikiwa najua kabisa siko sawa, hata kanisani siendi kabisa. Inaniwia hukumu sana na kujutia. Naona bora nikae pembeni kwanza.
Hapo pia ni mimi kabisa aisee, yaani kufanya shughuli fulani ya kiibada nikiwa katika hali ya dhambi (mbali na Mungu kiroho) yaani nashindwaga kabisa. Mpaka nihakikishe nimerudisha mahusiano yangu na Mungu.
 
Back
Top Bottom