Sitaki kusikia watanzania mnalalamikia ccm/jk | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sitaki kusikia watanzania mnalalamikia ccm/jk

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Paul Kijoka, Jul 6, 2011.

 1. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #1
  Jul 6, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Niliwahi kumwabia rafiki yangu kuwa wewe ishabikie CCM nami naipinga ila watakaporudi madarakani sote tutaumia. Hakunielewa ingawaje ni graduate wa PSPA UDSM. Sikujua kwanini alikuwa na ata leo anaipenda CCM au anajifanya 'siku hizi sipendi siasa' baada ya kuona CCM inaishiwa kisera.

  Leo hii maisha ni magumu kinoma/ yaani balaa tupu. CCM wanazidisha ushabiki bubngeni na kwenye majukwaa. Wanafanya mchezo wa kuigiza kama kutembelea ITV (Nape) leo. Wanapandisha bei ya mafuta ya taa eti magari yasichakachuliwe bila kujua kuwa wapigakura wengi wanategemea kibatari!!

  Leo hii mgao kila wanapoamua hasa KIPINDI CHA BUNGE wanapokta umeme ili wananchi wasifuatilie matangazo......


  Sasa sote tufe kisabuni, Tumewaingiza wenyewe madarakani,
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Hahahahahaaaa........sijui waliokuwa wakishabikia hasa hawa wa huku uswaz ukimuondoa NAPE wanafikiriaje kwenye MIOYO YAO
   
 3. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Hata uchaguzi ukiwekwa leo pamoja na kero zoooooteee hizi magamba yanapeta. Huo ni ukweli usiopingika.
   
 4. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #4
  Jul 6, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Ila sijawaskia sinoveti,wala REDETIIIIII
   
 5. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Siongelei REDET wala Sinovet, naongelea ujinga wa wadanganyika.
   
 6. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #6
  Jul 6, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  I know what u mean,lakini hata hao sinoveti na redeti nao wamenyamaza,maana tafiti yeyote watakayoitoa leo hii......sijui dodoso watafanyia wapi?????Any way tuombee uchaguz mdogo utokee
   
 7. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #7
  Jul 6, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ni kweli umenena
   
 8. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #8
  Jul 6, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu wala usijisumbue sana. Ni miezi 8 tu imepita toka uchaguzi ufanyike. Hizi kero zilikuwepo kabla ya uchaguzi na zitakuepo. Usiende mbali, jimbo la Ilala limeenda wapi kama sio Magamba? Ilala hakuna kero za mgawo wa umeme? Hataa leo hii uchaguzi ufanyike tena ni yaleyale tu.
   
 9. mfereji maringo

  mfereji maringo JF-Expert Member

  #9
  Jul 7, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 1,003
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  ilala na temeke ni mjimbo ambayo wananchi wengi ni mbumbumbu na choka mbaya vitu ambavyo ni mitaji muhimu katika mafanikio ya siasa za ccm, tofauti ni ubungo kin├Ándoni na kawe.
   
 10. g

  geophysics JF-Expert Member

  #10
  Jul 7, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nakubaliana na wewe mzee.... Laiti kama kila mwenye kujua kusoma na kuandika angejiandikisha na kupiga kura.....matatizo yote tunayoyapata yasingekuwepo. Nafurahi sasa kuwa baadhi ya walio wengi wanaelewa kuwa kuchagua chama cha upinzani sio mwanzo vita kama enzi zile za mwanzo wa vyama vya siasa
   
 11. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #11
  Jul 7, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Haaaa haaaaa! Watu wakipewa fulana, tisheti, vitenge, chumvi, sukari, nk, wanaridhiiiiiiiika sana! Hayo mambo ya "ahadi hewa za JK" sio issue kwao!
   
 12. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #12
  Jul 7, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,898
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  mkuu pamoja sana hao jamaa unafiki kwenda mbele saizi kimyaa kama hawaoni.
   
 13. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #13
  Jul 7, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Wamjini wanalalamikia bei ya umeme na Mgao,na wa vijijin wanakumbwa na ,myukano wa Bei ya KEROSENE
   
 14. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #14
  Jul 7, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Watasema wafadhil hawajawapa pesa.....
   
 15. Mbaliche

  Mbaliche JF-Expert Member

  #15
  Jul 7, 2011
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Ccm mwishowao utafika2. Wala 2c umize vchwa vye2. Watanzania waleo co kama wa miaka ya 90 na 2005.
   
 16. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #16
  Jul 7, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,604
  Likes Received: 4,730
  Trophy Points: 280
  Mimi naomba mateso tunayopata wadanganyika yazidi mara mia labda watu watatia akili ili uchaguzi ujao wasidanganyike tena. Nataka ifike stage kiongozi yoyote wa ccm apigwe mawe popote atakapopita,hii ganzi ya amani imepumbaza sana watu. Nawapongeza sana machinga wa Ng'wanza.
   
Loading...