Sitahamisha tena pesa kutoka Tigopesa kwenda Bank!

Magnificient

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
1,162
701
Nimechoka. Yaani nasema nimechoka. Unless otherwise wapitie upya makato yao na kuweka gharama zenye mashiko, vinginevyo nitasafiri hata umbali mrefu kwenda kuweka pesa kwa wakala wa benki au benki kwenyewe.

Kuhamisha pesa Tsh 120,000/= kutoka Tigopesa kwenda benki wanakata Tsh 3,600/=? Na VAT ya Tsh 549 juu!
Not for me. This is too much!

Miaka kadhaa ya nyuma ilinitokea kwa M-Pesa; kutuma Tsh 100,000/= kutoka M-Pesa kwenda benki walinikata Tsh 3,000/=.
Nani anapanga haya makato na anaangalia nini katika pricing? This is Skinning us alive!

Bora ningepanda daladala kwenda kwa wakala tu maana kwenda na kurudi ni Tsh 800/= na kuweka pesa kwenye akaunti ni bure kabisa. Ningeokoa Tsh 3349/=; ambayo inatosha kabisa kufanyia angalau kitu kimoja cha maendeleo.

By the way kuna kesi nyingi tu za kuhamisha pesa kutoka kwenye simu kwenda benki na pesa hiyo ikachelewa sana kufika au ikashindwa kufika kabisa.

Nani anaweza kutusaidia kwenye hili - TCRA au BOT?

Maana watanzania wa kawaida twafaaaaaa........

Au tusitumie hizi huduma? Na hayo mapato na kodi vitatoka wapi?

Please Tigopesa, Please M-Pesa - Better something than nothing! Mupitie upya haya makato yenu ili tuweze kutumia zaidi huduma zenu. Vinginevyo turejee 1947 tu!
 
Yanini uhangaike kuweka pesa bank ambako wakata makato makubwa Just weka kweny KIBUBU home ambako ZERO service charge kwisha habari
 
Kutoa laki moja wanakata 3600! Nishasema, mimi biashara ya kuweka fedha kwenye simu hizi laki mbili laki tatu sifanyi wendawazimu huo, pesa yangu itakaa ndani tu. Kuweka pesa bank eti nina milion 5 au 10 nikaweke bank, sifanyi upuuzi huo
 
Haswaa milioni kumi si ela ya mboga sasa itakaaje bank by Tibaijuka
 
Yanini uhangaike kuweka pesa bank ambako wakata makato makubwa Just weka kweny KIBUBU home ambako ZERO service charge kwisha habari
Ndugu yangu sina pesa za kuweka benki kwa sasa, nilikuwa naweka salio kwenye akaunti yangu ili nifanyie online payments maana natumia VISA kulipia matangazo yangu ya biashara FACEBOOK
 
Ni kweli makato ya kufanya hii miamala yamekuwa makubwa mno, juzi nimetoa pesa kwa wakala M pesa yaani 350,000/= nakatwa shilingi 6000/= kama service charge. Kwa kweli ilinitia uchungu.

Kuna haja ya hii mitandao ya simu kupitia upya gharama za huduma zao. Maana kwa mwendo huu tutashindwa hata kuwatumia wazee pesa vijijini, tutarudia njia za zamani sasa maana teknolojia badala ya kuwa msaada imekuwa msalaba.
 
Nimechoka. Yaani nasema nimechoka. Unless otherwise wapitie upya makato yao na kuweka gharama zenye mashiko, vinginevyo nitasafiri hata umbali mrefu kwenda kuweka pesa kwa wakala wa benki au benki kwenyewe.

Kuhamisha pesa Tsh 120,000/= kutoka Tigopesa kwenda benki wanakata Tsh 3,600/=? Na VAT ya Tsh 549 juu!
Not for me. This is too much!

Miaka kadhaa ya nyuma ilinitokea kwa M-Pesa; kutuma Tsh 100,000/= kutoka M-Pesa kwenda benki walinikata Tsh 3,000/=.
Nani anapanga haya makato na anaangalia nini katika pricing? This is Skinning us alive!

Bora ningepanda daladala kwenda kwa wakala tu maana kwenda na kurudi ni Tsh 800/= na kuweka pesa kwenye akaunti ni bure kabisa. Ningeokoa Tsh 3349/=; ambayo inatosha kabisa kufanyia angalau kitu kimoja cha maendeleo.

By the way kuna kesi nyingi tu za kuhamisha pesa kutoka kwenye simu kwenda benki na pesa hiyo ikachelewa sana kufika au ikashindwa kufika kabisa.

Nani anaweza kutusaidia kwenye hili - TCRA au BOT?

Maana watanzania wa kawaida twafaaaaaa........

Au tusitumie hizi huduma? Na hayo mapato na kodi vitatoka wapi?

Please Tigopesa, Please M-Pesa - Better something than nothing! Mupitie upya haya makato yenu ili tuweze kutumia zaidi huduma zenu. Vinginevyo turejee 1947 tu!

Ukienda kwa wakala kutoa you will be charged the same!!!

Tumia akili kidogo tu kujiongeza......0nia n madhumuni ya hizi huduma zote ni kukusaidia kuondokana na CASH.

Pitia tariff zote za bank za tigo pesa n.k thrn you you will get to knoe you best nd chepest option ya kulipia huduma??

Sio unapotosha tu.
 
6000 unakunywa serengeti lite 4 kabisa
 
Ukienda kwa wakala kutoa you will be charged the same!!!

Tumia akili kidogo tu kujiongeza......0nia n madhumuni ya hizi huduma zote ni kukusaidia kuondokana na CASH.

Pitia tariff zote za bank za tigo pesa n.k thrn you you will get to knoe you best nd chepest option ya kulipia huduma??

Sio unapotosha tu.
Nilitaka kukujibu, ila kwa huu uandishi wako nimeamua kusamehe tu
 
Ni kweli makato ya kufanya hii miamala yamekuwa makubwa mno, juzi nimetoa pesa kwa wakala M pesa yaani 350,000/= nakatwa shilingi 6000/= kama service charge. Kwa kweli ilinitia uchungu.

Kuna haja ya hii mitandao ya simu kupitia upya gharama za huduma zao. Maana kwa mwendo huu tutashindwa hata kuwatumia wazee pesa vijijini, tutarudia njia za zamani sasa maana teknolojia badala ya kuwa msaada imekuwa msalaba.

Hahahahah umenikumbusha mbali mkuu.

Unaangusha bahasha tu ukiwa kwenye basi umeandika jina la mzee na inamfikia bila tatizo. Hahahah.
 
Nimechoka. Yaani nasema nimechoka. Unless otherwise wapitie upya makato yao na kuweka gharama zenye mashiko, vinginevyo nitasafiri hata umbali mrefu kwenda kuweka pesa kwa wakala wa benki au benki kwenyewe.

Kuhamisha pesa Tsh 120,000/= kutoka Tigopesa kwenda benki wanakata Tsh 3,600/=? Na VAT ya Tsh 549 juu!
Not for me. This is too much!

Miaka kadhaa ya nyuma ilinitokea kwa M-Pesa; kutuma Tsh 100,000/= kutoka M-Pesa kwenda benki walinikata Tsh 3,000/=.
Nani anapanga haya makato na anaangalia nini katika pricing? This is Skinning us alive!

Bora ningepanda daladala kwenda kwa wakala tu maana kwenda na kurudi ni Tsh 800/= na kuweka pesa kwenye akaunti ni bure kabisa. Ningeokoa Tsh 3349/=; ambayo inatosha kabisa kufanyia angalau kitu kimoja cha maendeleo.

By the way kuna kesi nyingi tu za kuhamisha pesa kutoka kwenye simu kwenda benki na pesa hiyo ikachelewa sana kufika au ikashindwa kufika kabisa.

Nani anaweza kutusaidia kwenye hili - TCRA au BOT?

Maana watanzania wa kawaida twafaaaaaa........

Au tusitumie hizi huduma? Na hayo mapato na kodi vitatoka wapi?

Please Tigopesa, Please M-Pesa - Better something than nothing! Mupitie upya haya makato yenu ili tuweze kutumia zaidi huduma zenu. Vinginevyo turejee 1947 tu!
Tatizo sio makampuni ya simu Bali tatizo ni serikali ya awamu hii Kwa kuingiza kodi kubwa kwenye miamala ya simu,hata bank sasa hivi ukiwa na akaunt ya cheki kila cheki moja unakatwa zaidi ya Tsh 4000 kabla ya hapo nadhani ilikuwa haizidi 2700

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom