Sitahamisha tena pesa kutoka Tigopesa kwenda Bank!

Ukienda kwa wakala kutoa you will be charged the same!!!

Tumia akili kidogo tu kujiongeza......0nia n madhumuni ya hizi huduma zote ni kukusaidia kuondokana na CASH.

Pitia tariff zote za bank za tigo pesa n.k thrn you you will get to knoe you best nd chepest option ya kulipia huduma??

Sio unapotosha tu.
Sikulaumu mkuu hii sio lugha yetu ila poa tu tunajitahidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli makato ya kufanya hii miamala yamekuwa makubwa mno, juzi nimetoa pesa kwa wakala M pesa yaani 350,000/= nakatwa shilingi 6000/= kama service charge. Kwa kweli ilinitia uchungu.

Kuna haja ya hii mitandao ya simu kupitia upya gharama za huduma zao. Maana kwa mwendo huu tutashindwa hata kuwatumia wazee pesa vijijini, tutarudia njia za zamani sasa maana teknolojia badala ya kuwa msaada imekuwa msalaba.
Tumesahau waziri mpango alipokuja na pendekezo la kutoza kodi miamala ya cm,hatuna haja ya kulaumu makampuni ya cm bali ni hii serikali ya wanyongeee!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inasikitisha sana...

Na ngoja huo muamala usifanikiwe kwa sababu zao wenyewe za mtandao, utajuta.. .

Utawafuatilia wakutatulie tatizo lako mpaka utakata tamaa...



Cc: mahondaw
 
Kunahaja ya kutafuta njia mbadala hawatigo sio sawa kabisa, mimi nimetoa she,55,000/=
Nimekatwa nimekatwa sh, 2,700/=
Na VAT sh, 412/=
Wanatakiwa ku adjust service charges.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanini uhangaike kuweka pesa bank ambako wakata makato makubwa Just weka kweny KIBUBU home ambako ZERO service charge kwisha habari
Mkuu Milion tano uitunze ndani kwenye kibubu?.bado benk ni sehemu salama sema tu wapunguze makato
 
Mkuu Milion tano uitunze ndani kwenye kibubu?.bado benk ni sehemu salama sema tu wapunguze makato
Mbona kuna bank hazina makato kabisa tatzo wabongo tunaiga maisha ya matajiri wakat uwezo mdogo yaan MTU Mwenye uwezo Wa kutumia Crdb abaki huko na Mwenye uwezo Wa equity bank abaki huko the same na makato ya simu imetofauitiana hivohvo
 
Back
Top Bottom