Sita Mbaroni Kwa Kuichoma Moto Quran Uingerez | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sita Mbaroni Kwa Kuichoma Moto Quran Uingerez

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MziziMkavu, Sep 24, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Wanaume sita walioweka video kwenye YouTube wakiichoma moto Quran Friday, September 24, 2010 1:17 AM
  Polisi wa nchini Uingereza wamewatia mbaroni watu sita kwa kueneza chuki katika jamii kwa kuweka VIDEO kwenye YouTube wakionyesha jinsi wanavyoichoma moto Quran na kuipiga mateke. Polisi wa nchini Uingereza wametoa taarifa wakisema kuwa wamewatia mbaroni watu 6 ambao waliweka video kwenye YouTube wakionyesha jinsi walivyoichoma moto misahafu na kuipiga mateke.

  Taarifa ya polisi ilisema kuwa watu wawili walitiwa mbaroni septemba 15 na wengine wanne walitiwa mbaroni juzi jumatano. Wote wako nje kwa dhamana huku uchunguzi ukiendelea.

  "Walikamatwa kufuatia tukio la kuchoma moto misahafu miwili katika kitongoji cha Gateshead siku ya septemba 11", alisema msemaji wa polisi.

  "Tukio hilo lilirekodiwa na baadae kuwekwa kwenye internet", iliendelea kusema taarifa ya polisi.

  Video hiyo ya YouTube iliwaonyesha wanaume walioficha sura zao kwa vitambaa wakipiga kelele za "Septemba 11, siku ya kimataifa ya kuichoma moto Quran" wakitukana na pia wakiimba "Hii ni kwaajili ya vijana wetu waliopo Afghanistan".

  Wanaume hao walichukua mafuta ya petroli na kuyamwaga kwenye misahafu miwili na kuichoma moto misahafu hiyo.

  Waliendelea kuimba na kupiga kelele wakati misahafu hiyo ikiendelea kuungua kabla ya kuanza kuipiga mateke.

  Polisi kwa kushirikiana na uongozi wa kitongoji hicho ulitoa taarifa ya pamoja wakilaani kitendo hicho na kusema kuwa vitendo vilivyoonyeshwa kwenye video hiyo haviwakilishi mawazo ya jamii.

  "Jamii yetu imeundwa kwa heshima kwa watu wote na tunaendelea kushirikiana na viongozi wa jumuiya, wakazi na watu wa imani zote ili kudumisha ushirikiano uliopo", ilisema taarifa hiyo.

  Kutiwa mbaroni kwa wanaume hao kumekuja zikiwa hazijapita wiki mbili tangu mchngaji wa nchini Marekani, mchungaji Terry Jones alipoahirisha mpango wake wa kuichoma moto misahafu 200 katika kuadhimisha siku ya kuwakumbuka wahanga wa shambulizi la septemba 11, 2001.

  Chanzo: NIFAHAMISHE Tanzania news portal .: Habari za Tanzania :.
   
 2. H

  Hardwood JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 853
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 80
  Sijui dunia inaelekea wapi, Vita kuu ya kwanza ya dunia ilianza kwa chokochoko za kipuuzi kama hizi (mambo ambayo katika macho ya mpumbavu ni madogo ila yanapolipuka yanakuwa na madhara makubwa na kuya-reverse haiwezekani!) Wazungu wanapandikiza chokochoko nyingi dhidi ya uislam (eti wao ndio ma-superpower wa dunia, ndicho kinachowapa jeuri hicho). Pengine ndio wanauharakisha mwisho wa dunia..... Walichokifanya ni kitu cha kulaaniwa sana sana!
   
 3. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #3
  Sep 24, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,374
  Likes Received: 3,138
  Trophy Points: 280
  Bora tu kuichoma hiyo kuran...we kitabu gani kina zaidi ya aya 223 zinazochochea chuki na mauaji?..........na hali halisi ya dunia inaonekana jinsi kitabu hicho kinavyowadanganya waislamu kwa kuwaua watu hovyo eti watapata thawabu!!!!!!!!!!!!
  Hii ni dini chafu sana
   
 4. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #4
  Sep 24, 2010
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Nashindwa kuamini kuna watu wenye akili za aina hii! Huku ni kuchochea machafuko duniani
   
 5. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #5
  Sep 24, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Hongereni sana waliochoma kitabu hicho cha Quran (death manual) kinachosababisha mauaji ya kutisha duniani kote! It is nothing more than freedom of expression!
   
 6. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #6
  Sep 24, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Mbona watu wa dini nyingine wanaitwa "makafiri" na hakuna mtu anayekamatwa? Au hao ni "wateule" na hawaruhusiwi kubughudhiwa?
   
 7. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #7
  Sep 24, 2010
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  kwani hicho kitabu kina uhai..! si ni mijikaratasi tu yenye wino...! ITS NO BIG DEAL.
   
 8. LeopoldByongje

  LeopoldByongje JF-Expert Member

  #8
  Sep 24, 2010
  Joined: Apr 28, 2008
  Messages: 373
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Watu wakichoka amani wanaanza kuitafuta vurugu. Shibe mwana malevya au kwa kiswahili kingine Alitafutaye jua limemchoma. Huko ndiko wanataka kutupeleka tuyakatae mawazo hayo na tuyakemee kwa nguvu zote. Tusiogope wala kuona haya kusimamia masuala ya msingi ili amani isije kutoweka. Amen
   
 9. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #9
  Sep 24, 2010
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Je na bibilia nayo inasababisha ulawiti wa watoto kwahiyo ipigwe moto? mapadri wanakatazwa kuowa matokeo yake wanalawiti watoto, nayo ipigwe moto?
   
 10. k

  kitangakinyafu Member

  #10
  Sep 24, 2010
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Big up kwa waliokichoma hicho kitabu!! Waislamu ni wagomvi sana. kiabu hicho kinachochea umwagaji damu duniani. Uislamu ni dini ya ovyo sana!!
   
 11. October

  October JF-Expert Member

  #11
  Sep 24, 2010
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 2,147
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Well Done, Well Done.
  Ndivyo inavyotakiwa kufanyiwa kitabu kinachofundisha watu chuki na kuua watu wa imani nyingine. Kama kitabu hakiwezi kuwafundisha watu upendo na amani na uvumilivu, kwanini kisiteketezwe?
   
 12. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #12
  Sep 24, 2010
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hao mapadri nao ni wafuasi ya dini ya shetani tu kama yenu waislamu. Wapi Biblia imewakataza wasioe na wapi imewaasa wafanye hayo maovu? Quran is the death manual kama Buchanan alivyosema hapo juu na ziko aya zinachowahamasisha waislamu kufanya hayo mauaji tunayoyaona duniani kote kila siku. Hongera zao walioichoma hiyo death manual.
   
 13. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #13
  Sep 24, 2010
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  MKuu hii ni diniya shetani kabisa na hilo liko wazi. Ni dini ya wauaji na wachawi wa kupindukia ambazo ni sifa za shetani.
   
 14. bona

  bona JF-Expert Member

  #14
  Sep 24, 2010
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,796
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  the big issue here is the reaction which causes more controversy, no body is gonna burn bible, you know y, because no body cares and no body want to know someone did that, so if u burn bible, no big deal, just a piece of paper with words! wereas i thought muslim should take that view as well and no one will burn quran anywhere because he is not gonna get any attention!
   
 15. M

  Makanyagio Senior Member

  #15
  Sep 24, 2010
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 126
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Lakini blaza hata kama zingechomwa quran 2,000,000 kutabadili mwelekeo wowote au ni kuchochea chuki tu katika jamii. Mwarabu mmoja tu pale dubai anaweza kumwaga pesa za kuchapisha quran kama 1bn kureplace 2mn mlizochoma. Cha msingi kila mtu aheshimu imani ya mwenzake na kujaribu kubadili mwelekeo kwa kuwafundisha yale yalio mema, upendo, uvumilivu, staha nk. Binadamu wote ni ndugu japokuwa tunatofautiana sana kitabia, hulka nk. na hivyo ndivyo dunia ilivyo tangu enzi na enzi. Sasa hivi na huu utandawazi ndio kwanza binadamu wanakuwa wehu, kila mtu apige goti Mwenyezi Mungu atuokoe na dhahama hii.AMEN
   
 16. J

  JokaKuu Platinum Member

  #16
  Sep 24, 2010
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,794
  Likes Received: 5,070
  Trophy Points: 280
  ..katika jamii yoyote ile hawakosekani watu wa shari-shari na vichwa maji.

  ..kitu cha msingi hapo ni kwamba watuhumiwa wamekamatwa na sheria zitachukua mkondo wake.
   
 17. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #17
  Sep 24, 2010
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,655
  Likes Received: 2,893
  Trophy Points: 280
  Ngoja sheikh anayempa kinga mgombea urais awasikie mnasema dini yake ni ya shetani, mtatafuta mahali pa kujificha!
   
 18. M

  Magobe T JF-Expert Member

  #18
  Sep 24, 2010
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 357
  Trophy Points: 180
  Nawapa pole ndugu Waislamu, ambao wanachukizwa kuona kitabu chao kitakatifu kikifanyiwa dhihaka na watu wa imani nyingine. Mimi ni Mkristo Mkatoliki na ninaamini kuwa mtu akichoma mto Biblia atakuwa hajaathiri imani yangu kwa namna yoyote ile. Biblia ni neno la Mungu na neno la Mungu haliwezi kuchomwa moto.

  Kinachoweza kuchomwa moto ni kitabu au karatasi lakini siyo neno au ujumbe ulio kwenye Biblia. Of course, ninaweza kumshangaa mtu kupoteza muda wake kwenda kuchoka moto kitabu ambacho kwake hakijamfanyia baya lolote lakini pia sitaweza kukosa usingizi kama mtu au kikundi cha watu wakifanya hivyo.

  Labda wakichukua kitabu changu ambacho nimekigharimia na kukichoma moto. Hapo watakuwa wameniingiza hasara. Lakini kama wamenunua wao wenyewe halafu kwa kuonesha unjemba wao wakichome moto, hapo sihusiki! Pamoja na kuwa inatia uchungu kwa mtu anayeamini kuwa neno ni yale maandishi ndani ya kitabu na siyo ujumbe, hata hivyo inabidi tuzidi kukuza uelewa wa dini zetu na kusameheana zaidi na zaidi ili tuweze kuishi pamoja.
   
 19. kmdh

  kmdh JF-Expert Member

  #19
  Sep 25, 2010
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 505
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Naomba kuuliza kwa nini waislamu hawatumii makaratasi ya haja kubwa (toilet paper)? Ninavyojua mimi ni kwamba Waislamu huwa wanachamba tuu yaani wanatumia maji wakienda haja kubwa. Sielewi sababu zao. Yaani wewe mtu mzima unashika kinyesi chako halafu unanipa mkopo tusalimiane. Naomba ufafanuzi.
   
 20. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #20
  Sep 25, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Hujuwi Usafi wamaji ni bora zaidi kuliko Makaratasi meupe (Toilet peper)? unajuwa mimi nipo Ulaya sasa yapata miaka zaidi ya 20 nawaona wazungu wakitumia hayo Makaratasi Meupe ya Toilet (Toilet Paper) na akitoka huko Toilet huyo mzungu ukisalimiana nae utaona ana nuka harufu ya mavi. Tofauti na mtumiaji wa maji akitoka Toilet waweza

  kusalimiana nae na mwili wake ahuwezi kunuka mavi. Sasa wewe jaribu kufanya utafiti utagunduwa kutumia maji ukiwa Toilet haswa kwa tendo la haja kubwa ni bora zaidi kuliko kutumia Makaratasi meupe (Toilet Paper). Wazungu wanatumia hayo Makaratasi

  Meupe sio kuwa hakuna maji la hasha kutokana na hali ya hewa ya huku baridi kutumia maji ya baridi wakati ukiwa upo Toilet yataka moyo mimi nilivyofika huku nilikuwa nalia kwa hayo maji baridi kwa kutumia huko Toilet mpaka nikaamuwa kutumia maji ya Uvuguvugu wakati wa baridi sasa maji ni kitu bora kuliko hayo makaratasi ya meupe yaani (Toilet Paper) asante.
   
Loading...