SITA, Chenge, NJE UGOMEA USPIKA

emrema

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
268
42
Kuna tetesi kuwa Sita ametupwa nje kinyang'anyiro cha uspika. wenye nafasi ni makinda, na Anna Abdalah. KUMEKUCHA. Wote kambi ya LOWASA na RA.
 
Mkuu, nadhani huwajui vizuri hawa watu, nadiriki kukuambia Anna Makinda sidhani kama anakambi yoyote hapa
 
Back
Top Bottom