Sita atumia ma-komandoo wa serikali kulinda rushwa ya uchaguzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sita atumia ma-komandoo wa serikali kulinda rushwa ya uchaguzi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by MchunguZI, Jul 27, 2010.

 1. MchunguZI

  MchunguZI JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2010
  Joined: Jun 14, 2008
  Messages: 3,623
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Wana JF,
  Asubuhi ya leo nimepata taarifa toka jimbo la Mh Sita kwamba Walinzi wake wamejeruhi watu wa PCCB na baadhi ya wajumbe wa CCM.

  Jana jioni vijana wa PCCB wakiwa na mwenyekiti wa kitongoji ambacho leo hii kingetembelewa na wagombea wote, walivamia mkutano uliokuwa ukifanyika usiku kwa lengo la kuwaweka sawa wana-CCM kabla ya siku ya kampeni. Bila kutegemea Mh Sita pia alikuwepo na walinzi wake.

  Bila kutegemewa wafuatiliaji hawa waliambulia kipigo. Mh. Sita bado ana walinzi toka serikalini aliopewa akiwa spika.

  Nadhani magazeti yatakuwa yatapata undani huu maana nasikia wengine wamelazwa.
   
 2. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Sijuwi pahala gani nilisoma kuhusu hili tatizo la hawa incumbets kutumia mali za umma baada ya mda wao wa uongozi kumalizika, kwa kujipigia kampeni za kurudi madarakani. Ilitakiwa wakati rais, wabunge na madiwani mda wao wa uongozi umemaliza walitakiwa waache kutumia ushawishiwa nafasi zao, mali za umma katika shughuli zao za siasa za kutafuta nafasi ya kurudi tena. Hapa nashangaa Mh.Sitta anadaiwa kutumia walinzi toka serikalini sijuwi akiwa kama nani?

  Ipo haja kuwe na sheria kurekebisha hii ili kuwa na mazingira sawa ya ushindani na kuzuia ufisadi huu wa kisiasa.
   
Loading...