Sita Acha Kumdhalilisha Rais

Albedo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
5,559
1,452
Sita anasema kwamba wapo wafanyabiashara wanamhujumu Rais Kikwete. Kwamba Sitta anawafahamu hao watu. Hivi Mh. Sitta kama Rais anawafahamu wanaomhujumu na hawachukulii hatua Tumuiteje Mh. Rais. Kuna Viongozi wengine wanatoaga kauli za Kuwalamba Miguu Mabos wao Kumbe wanawadhalilisha. Kwamba Sitta anamaanisha kwamba pamoja na Nguvu zote alizonazo Rais lakini anawaachia wanaomhujumu?
 
Nadhani ubongo wake unazeeka haraka kuliko sura yake. Poor Sam Six.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Hata mimi nimeshangaa. Anataka kusema rais wetu ni dhaifu analisema indirectly. Halafu mbona watu wa ccm wanatoa mapovu sana kuhusu serikali tatu? wanandai ni mzigo kwa walalahoi, Je ni kweli?
 
Alichosema huyu mzee ni kweli, lakini mazingira aliyosemea ndo yanamfanya aonekane anajikomba kwa Mr. Dhaifu!!
 
Hata mimi nimeshangaa. Anataka kusema rais wetu ni dhaifu analisema indirectly. Halafu mbona watu wa ccm wanatoa mapovu sana kuhusu serikali tatu? wanandai ni mzigo kwa walalahoi, Je ni kweli?
ni kweli mkuu, muundo wa serikali tatu utaliongezea mzigo taifa letu masikini!!?
 
Ni mnafiki tu na mchumia tumbo kama maCCM mengine,wanazidiana viwango vya unafiki na ufisadi tu ila hamna tofauti!!!
 
Alichosema huyu mzee ni kweli, lakini mazingira aliyosemea ndo yanamfanya aonekane anajikomba kwa Mr. Dhaifu!!

Ninaupenda mfumo wa serikali tatu kwakuwa utavunja huu Unafiki wanaouita Muungano. Period!
 
Hivi haya mambo haruhusiwi kuongea ndani ya vikao vya baraza la mawaziri.

Huyu mzee nahisi ni mlopikaji tu.
Hasa nikikumbuka kumhusisha Magufuli na kambi yake ya Uraisi na hatimae kukanwa na Magufuli mwenyewe.!!
 
Sita anasema kwamba wapo wafanyabiashara wanamhujumu Rais Kikwete. Kwamba Sitta anawafahamu hao watu. Hivi Mh. Sitta kama Rais anawafahamu wanaomhujumu na hawachukulii hatua Tumuiteje Mh. Rais. Kuna Viongozi wengine wanatoaga kauli za Kuwalamba Miguu Mabos wao Kumbe wanawadhalilisha. Kwamba Sitta anamaanisha kwamba pamoja na Nguvu zote alizonazo Rais lakini anawaachia wanaomhujumu?
Anayewafahamu ni yeye Sitta au JK?
 
Kama ni jk ndio anawafahamu cha ajabu nini, mbona mwenyewe alishasema anawajua waingiza madawa ya kulevya na mpaka leo hatujui nani kakamatwa
 
Albedo me sioni cha kushangaa hapo,,,JK mwaka 2006 alisema anawajua wauza ngada,na hajawataja wala kuwashughulikia sasa hapo alidhalilishwa na NAN?????
 
Last edited by a moderator:
ni kweli mkuu, muundo wa serikali tatu utaliongezea mzigo taifa letu masikini!!?
Mnaosema serikali TATU zitatuongezea mzigo, Tuambieni ni kwa jinsi gani maana HISIA tu huwa hazileta utatuzi wa tatizo kwa sababu hazileti suluhisho sahihi! Tuambieni kwa sasa serikali inatumia nini/kiasi gani na hapo baadaye inaweza kutumia kiasi gani!Mimi ni kati ya wanaoaminimkwamba serikali tatu zitapunguza gharama za uendeshaji!
 
TUAMBIANE wapinga serikali tatu ilivyo gahrama kuziendeshaukilinganisha na sasa! Kwenye Sosholojia kuana kitu tunaita CONSUMPTION BEiHAVIOR-kwamba idadi ya watu kwenye familia si sababu pekee ya kwamba chakula kitaliwa kingi! Kuna sababu ya watu wachache kula Chakula kingi na watu wengi kula chakula kidogo! Mtu mmoja aweza kula chakula cha watu wanne kama ilivyo watu wanne kushiba kwa chakula cha mtu mmoja..!Kuwa na viongozi wengi wasio walafi ni bora kuliko viongozi wachache walafi wa mali ya UMMA....Viongozi wa sasa ni walafi....
 
6 ni Majanga
Hivi haya mambo haruhusiwi kuongea ndani ya vikao vya baraza la mawaziri.

Huyu mzee nahisi ni mlopikaji tu.
Hasa nikikumbuka kumhusisha Magufuli na kambi yake ya Uraisi na hatimae kukanwa na Magufuli mwenyewe.!!
 
ni kweli mkuu, muundo wa serikali tatu utaliongezea mzigo taifa letu masikini!!?

Unajua mie nawashangaa wa ccm wanaosema serikali tatu ni mzigo,mbona hawakusema rais kuwa na mawaziri 60 ni mzigo kwa taifa.Mie naona wanaogopa ajira zao za kishikaji kukwama.Maana katiba ya Tanganyika lazima iwe pia na wizara chache ili kuondoka na kila rais anapoingia kuunda wizara kwa kuangalia jamaa zake.:heh:
 
Nchi tatu za nini..Tanganyika yetu basi tufe na shida zetu..yani mkoa 1 tu unatusumbua vichwa vyetu?aaaah
 
Hivi haya mambo haruhusiwi kuongea ndani ya vikao vya baraza la mawaziri.

Huyu mzee nahisi ni mlopikaji tu.
Hasa nikikumbuka kumhusisha Magufuli na kambi yake ya Uraisi na hatimae kukanwa na Magufuli mwenyewe.!!

Amini usiamini huyo mzee anakoongelea huko ndio anaweza kusema hayo yote. Ndani ya vikao huwezi kuongea hayo otherwise awe ameshaaga kabisa. Lolote laweza kutokea.
Huyo kijana wa chama watu watasema sana akili imechoka lakini anachosema huenda yuko sahihi, ila anaowasema hawawezi kufanywa chochote kama wale wa EPA ambayo ni haramu hata kufahamika.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom