Albedo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 5,559
- 1,452
Sita anasema kwamba wapo wafanyabiashara wanamhujumu Rais Kikwete. Kwamba Sitta anawafahamu hao watu. Hivi Mh. Sitta kama Rais anawafahamu wanaomhujumu na hawachukulii hatua Tumuiteje Mh. Rais. Kuna Viongozi wengine wanatoaga kauli za Kuwalamba Miguu Mabos wao Kumbe wanawadhalilisha. Kwamba Sitta anamaanisha kwamba pamoja na Nguvu zote alizonazo Rais lakini anawaachia wanaomhujumu?