Sister duuu...! Lol

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,606
696,720
1417273457407.jpg
 
Anaogopa kupuliza moto nguo zitanuka moshi.

Apulize asilete mapozi maisha yaliomkuza
 
miss neddy nakuona hapo ukimaliza tuambie ulikuwa unapikia jiko la gesi hatutabisha
ndio maisha yetu uongo uongo
so interesting
 
Last edited by a moderator:
Ndo hawa wakiwa mfano chuoni wanakwambia "umeme wametukatia tunapata shida kupikia gesi"
 
Na lipshine, lipstick na shadow ni sheeeedar na huo moshi
 
Siku miss neddy amentembelea nyumbani kwangu hapo...nikamwambia kama anasikia njaa aingie jikoni tu kiroho safi mi hata sina muda wa kumpikia
 
Last edited by a moderator:
Hapo utakuta katuma vocha yake ya jero then kapost Fb hivi "friends dad ndo kaja kunichukua hom tunaelekea somewhere kwa ajili ya lunch, love u all na karibun lunch"
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom