miss neddy nakuona hapo ukimaliza tuambie ulikuwa unapikia jiko la gesi hatutabisha
ndio maisha yetu uongo uongo
so interesting
Tumbo kwanza poozi baadae saaaaana
Siku miss neddy amentembelea nyumbani kwangu hapo...nikamwambia kama anasikia njaa aingie jikoni tu kiroho safi mi hata sina muda wa kumpikia
unafikiri nitakuja tena? sina hamu na wewe