Muuza Kangala

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
1,125
4,168
PICHA YA SIKU: Hili ni Daraja jipya katika Mto Mngeta uliopo katika mji wa Mlimba wilayani Kilombero.

Daraja hili limejengwa kwa miezi 7 kwa thamani ya shilingi milioni 31, na limejengwa kwa miti.

Pichani ni mbunge wa jimbo la Mlimba, Godwin Kunambi, akikakagua mradi.

IMG_20210729_110854.jpg
 
Najaribu kuwaza hapa nakosa cha kuandika, TARURA walishirikishwa? Tani ngapi zinapita hapo? Otherwise mwanzo mwema. Kubwa nijua Mhe Kunambi anakusanya sh ngapi hapo kwenye halmashauri yake? maana pale Dodoma he did amazing collection.
 
Kuna vitu havipaswi kuwekwa kwene public km hiki jaman. Mbunge unachoma mafuta kwa ukaguzi wa chelezo tena watu kudakwa na mamba. Bora kungekuwa na matumiz ya sayansi kwene ujenz wake, hivyo tuu ktk karne hii kweli jamani. Sasa km hii mambo ndy imeleta tozo bac nchi hii mzik ni mnene hauchezeki
 
Ujenzi wa Daraja la mto Mngeta umefanikiwa, ikiwa zimetumika Tsh. Milioni 31

Mbunge Mlimba mkoani Morogoro, Godwin Kunambi amesema atahakikisha hakuna mwananchi atakayeliwa na mamba katika mto huo

Mapema mwezi Julai, serikali ilianza kutoza kodi kwenye miamala kwa nia ya kuboresha miundombinu ya barabara nchini

1627547770607.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom