"Sisi Wazalendo" Tunasema Jenerali Ulimwengu Ameshanunuliwa na Mafisadi, Bring Back Our Jenerali

Hata kama ukame upo, lakini sio kuruhusu miradi mikubwa ya gharama kubwa kama LNG ya $ 30bil. ianze, kama ikianza muhimu mkataba uwekwe wazi ijulikane hizo pesa zitatoka wapi, zitalipwaje kwa muundo upi, na kwa muda gani.

Tusilishane maneno mengi huku tukikwepa vitu vya msingi na kuzuiana kuhoji kwa sababu za kitoto, kupiga kelele kila siku kuna ukame.. kuna ukame.. hakutoshi, mipango iliyopo iwekwe mezani tuulizane maswali yajibiwe vizuri ndio mambo mengine yaendelee, tumeshapigwa sana.
Tatizo lako wewe ni MVIVU wa kusoma, matokeo yake hata unapoelezwa jambo unashindwa kuelewa kwa sababu HUSOMI!

Nishasema mara kadhaa hapa USD 30 Billion LNG Project is much bigger than matatizo yenu ya umeme!! Mnashindwa hata kutumia common sense kwamba ni nani awekeze almost TZS 70 Trilllion kwa ajili ya mradi wa kuzalisha umeme!!

Unarudisha rudisha vipi TZS 70 Trillion kwenye mradi wa kuzalisha umeme?!

Na nimeshasema mara kadhaa kama issue ya umeme, tayari kuna gesi imeshaanza kuchimbwa... Msimbati na Songosongo!! Hapa kwa Msimbati na Songosongo, you DON'T need those trillions but all you need ni kuongeza tu uzalishaji kwa sababu tayari uzalishaji unafanyika na kingine ni kuongeza tu power plants pale Kinyerezi na Ubungo, and that's it!!
 
Uzalendo gani unazungumza kama sio Utopia, ukweli huu mchungu magufuri hakuacha legacy yoyote ila alijitahidi kuonesha tu uthubutu kwenye baadhi ya mambo. Ujenzi wa miondombinu sio legacies hizo coz hata watangulizi wake walisimamia ujenzi wa miondombinu nyingi Sana. Legacies mara nyingi huwa ni misingi ambayo uhai wa taifa unasimamia, kwa mfano baadhi ya misingi ya azimio la Arusha kama Umoja wa kitaifa mpaka leo imekuwa ndio tunu yetu ya Taifa. Ulinzi wa rasilimali za Taifa ni jukumu la kila mtu ambae ana mapenzi mema na taifa lake.

Nchi yetu inakabiliwa na ukame maeneo mengi tuombe mwenyezi Mungu aliongoze kwenye mapito haya. JPM was an individual hakuwa Tanzania hayupo sasa nchi yetu lazima iende bila kufanya uchonganishi wala shutuma za kudhania. Tofautisha chuki ya mtu na chuki ya nchi ni vitu viwili tofauti. Jenga taifa lako kwa mtizamo chanya, timiza wajibu wako wakiraia Tanzania inaitaji mchango wako wa mawazo mazuri sio majungu na fitina
Hivi hujiulizi ni kwanini niliandika "Sisi Wazalendo" na sio "Sisi Wazalendo"?

Ina maana hizo " " didn't ring a bell to you?!

man, it's sarcasm!
 
Wewe mpaka upigwe mti na yule bonge mtoto wa Magufuli ndio utatuliza mshindo wa kumuota ota. Ngoja tukuconnect nae.
Kama unawashwa na unatafuta mabasha, umepotea njia kwa sababu mimi sio mzibua mitaro , kenge wewe!
 
Mkuu Chige , hoja hupingwa kwa hoja na sio kwa viroja!.
Gazeti limeripoti, hapa umetuletea heading tuu and not contents, kisha unasema kilichoripotiwa ni uongo.

Unapokanusha kuwa kitu fulani ni uongo, kwanza bring the contents tuone hilo gazeti limeripoti nini, kisha upangue uongo wao kwa kuweka ukweli wako.

Huu mtindo wa kusema negatives kwa blanket statements, nimetoka kuusema juzi humu,
ukituhumu , weka na facts na sio kwa blanket statements.

P
Sahihi Mkuu. Apinge kwa hoja. Sababu hakuna mtanzania utamwambia hatukabiliwi na ukame wakati karibu nchi nzima jua linawaka kila sehemu.
 
Back
Top Bottom