Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 6,981
- 14,749
- Thread starter
- #41
Huu ujinga nadhani upo Africa tu hapo kuna wajanja wanakula % zao kutoka kwenye kodi ya wavuja jasho....Hivi baba yake na Rais wa DRC ameshazikwa ?
Nakumbuka hayati Koffi Annan alikaa almost miezi miwili ndio akapumzishwa.
Tshisekedi maiti yake ilizuiliwa na aliyekuwa rais wa Congo Joseph Kabila na serikali ndiyo ikaja kugharamikia gharama zote....