Sisi Waafrica hatupo serious kabisa, yaani hadi leo Robert Mugabe hajazikwa!!!

Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Dec 12, 2015
6,966
14,710
Yaani nimejaribu kutafari nimebaki na mshangao mkubwa sana....

Ukijaribu kufikiria namna ambavyo Nchi ya Zimbabwe ilivyo maskini kuanzia raia hadi nchi wote kiujumla ni maskini, lakini najiuliza nani anaegharamikia kuuzungusha mwili wa Marehemu Mugabe kwenye msafara wa magari ya serikali yasiyo pungua 20 na ndege kwenda kijijini kwao na kurudi mjini na kuzunguka nao baadhi ya maeneo ya Zimbabwe na gharama za kuuhifadhi Hospitalini, hizi gharama zinalipwa na nani?

Piga hesabu atazikwa baada ya mwezi mmoja, ni hela kiasi gani zimesha tumika na zinaendelea kutumika, usishangae hizi gharama zikalipwa na raia fukara wa Zimbambwe,

Hivi sisi Waafrica tunakwama wapi? Kwanni matatizo yetu tuwabebeshe wazungu?
 
Mbona unawasema waafrica wote
 
Ulishakaa kenya au Gambia ukajua hawa wana wanakaa na maiti wiki au miezi mingapi kabla ya kuzika?! Mbona Mugabe simba bado sana acha apigwe upepo achana na wazungu
 
Tatizo mkuu siyo kuishi nae tu, ishu ni gharama anazo bebeshwa yule maskini wa hali ya chini kabisa, hizo hela zingetosha walau kujenga kituo kimoja kikubwa cha afya
 
Yaani nimejaribu kutafari nimebaki na mshangao mkubwa sana....

Ukijaribu kufikiria namna ambavyo Nchi ya Zimbabwe ilivyo maskini kuanzia raia hadi nchi wote kiujumla ni maskini, lakini najiuliza nani anaegharamikia kuuzungusha mwili wa Marehemu Mugabe kwenye msafara wa magari ya serikali yasiyo pungua 20 na ndege kwenda kijijini kwao na kurudi mjini na kuzunguka nao baadhi ya maeneo ya Zimbabwe na gharama za kuuhifadhi Hospitalini, hizi gharama zinalipwa na nani?

Piga hesabu atazikwa baada ya mwezi mmoja, ni hela kiasi gani zimesha tumika na zinaendelea kutumika, usishangae hizi gharama zikalipwa na raia fukara wa Zimbambwe,

Hivi sisi Waafrica tunakwama wapi? Kwanni matatizo yetu tuwabebeshe wazungu?
Ni ukiristo tu hakuna jingine !
 
Back
Top Bottom