Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 5,347
- 11,447
Miaka hiyo muziki ambao ulikuwa ukitamba sana bongo ulikuwa ni lingala. enzi za akina kanda bongo man, bozi boziana, diblo dibala, lokassa ya mbongo,akina yondo sister, gatho,madilu system, defao, koffi olomide, aurlus mabele na kundi la loketo, soukos stars, soukos vibration, wenge musica,bcbg, zaita musika, pepe kalle etc
Je mnawakumbuka rappers mbalimbali waliokuwa na wanamuziki au makundi mbalimbali yakiwemo yaliyotajwa hapo juu?
Unaikumbuka album ya Koffi Olomide LOI? Yule jamaa aliye rap kwenye ile album yu wapi na ungemfananisha vipi na Rapper wa Pepe Kalle papy tex ? Akiwa na akina dilu dilumona, au unawezaje kumfananisha na aliyekuwa rapper wa General Defao katika album zake za Famile Kikuta na Sala noki?
Au umewahi sikiliza rapper wa wenge musica kala yi boeing? au pentagone? unawakumbuka wale rappers . Je unawakumbuka watu kama mimi kazidona? djuna mumbafu wa pepe kale akilicharaza guiter huku papy tex akighani na sauti yake nyororo? kule unamkuta mzee mzima koffi olomide akimwachia bwana mdogo arap huku yeye anachombeza kwa saut nzito... kama hataki hivi anaongea ongea maneno ambayo sisi hatuyfaham.... ila bwana mdogo flani yeye ana rap ana ghani akilalamika na kutupeleka mchaka mchaka? nani anawakumbuka hawa? Nani anaweza sema flani alikuwa mkali kuliko flani?
Huu mtindo wa kuwa na mtu wa kughani inasemekana aliuanzisha jitu la miaka minne pepe kalle na wengine wakaoana ni jambo zuri wakaliiga, ndo mwanzo wa kuwa na rapper. Mtu mzima anaimba halafu anakuja kumwachia rapper alete vionjo mbalimbali. Mpaka leo tutasema nani ni mkali ?
Mtindo huu wa kuwa na rappers unaendelea mpaka leo tunawaona hata akina fally ipupa na wengineo wanakuwa na rappers kwa ajili ya kuchombeza likianza kupigwa sebene....
Swali nani alikuwa au nani ni mkali wa rappers wote ambao umewahi wasikia? tuwaweke hapa na vibao vyao unavyokumbuka. Mimi ntakupa kibao cha pepe kalle rhumba rhumba, ntakupa kibao cha koffi olomide- loi au endrada. Kama hujanielewa kasikilize kibao cha famille kikuta cha general defao. Au nenda kawasikilize wenge musica na pentagone yao. au wenge bcbg titanic.