sisi sote ni wasafiri

CK Allan

JF-Expert Member
Aug 14, 2013
2,723
5,899
jamani
sisi sote ni wasafiri hapa duniani, wewe unayefanikiwa kupata siti usimdhihaki yule aliyekosa siti maana wote njia yetu ni moja, pia wewe uliyekosa siti usijilaumu wala kumhukumu yeye aliye wahi siti ,, ni kweli kuna wengine wametumia plan b ili kupata siti lakini usijali kwani mwisho wetu anaujua mungu ambaye ndie dereva wetu pia wewe uliyekaa nyuma na unajua unakaribia kushuka basi waachie wenzako siti

kwa great thinker ataelewa ila great sinker, !!!
 

Attachments

  • hahaha.jpg
    hahaha.jpg
    29.9 KB · Views: 24
Yeah uko right mkuu allan clement ila sasa hukuweka picha so umepunguza uzito wa ujumbe wako na kuufanya usiwe sehemu inayostahili as umeiweka kwenye jukwaa la mapicha bila picha bora ungeipeleka kule MMU inafaa sana.
 
Last edited by a moderator:
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom