Sisi ndio wanaume bwana!

zawadi gani ya kupangiwa? Mwnye kutoa zawadi ndo anapanga atoe nini, hayo ni mauziano kma mauziano mengne
na ndo maana tunaomba kupnguziwa bei.

Kama ulikuwa hujawahi kuisikia zawadi ya kupangiwa ndo isikie sasa.

Utauziwa kitu bila risiti! Unanchekesha!
 
Sio kuthaminishwa huyo mwanamme, ni kujithaminisha wewe muolewaji.

Vitu vingi vinazingatiwa.....ukoo (jina), elimu, kipato, muonekano, n.k :]

Kama mimi mwalimu wa chekechea, inakuwa milioni kumi kwa sababu nna ujuzi wa ziada nitaoutumia nyumbani :p

Mahari si bei ya ununuzi, mahari ni zawadi. Hatutaki wanaume wabaghili. Kama huna milioni kumi ya zawadi kwa mwanamke atakaekuwa nawe maisha yako yote chapa lapa...............lolz
Hakyanani Gee.....lolz
 
Sweetlady,kwanza unabisha nini kuwa hatukati kiu yenu wakati hiyo ID yako yenyewe umeiweka kwasababu yule jamaa wa ngaramtoni anavyokata kiu yako!
 
Uliambiwa ukitoa hiyo hela ndio umeuziwa?..lol

Kisha mwanamme alivyokuwa kiumbe ajabu, kwa kuwa kitu chake ndo akitoe meno! Ndo maana hatuendelei Waafrika. Tunza chako ili uache kutamani cha wenzako
 
Kama una kalenda angalia siku gani leo utajua tu ni lini leo na kwanini hii post iko hapa source: Klorokwin
 
Sweetlady,kwanza unabisha nini kuwa hatukati kiu yenu wakati hiyo ID yako yenyewe umeiweka kwasababu yule jamaa wa ngaramtoni anavyokata kiu yako!
Taratibu mkuu, huko sasa umefika mbali, Id hapa inahusika vipi?..afu mume wangu ni memba humu, ukiambiwa ufafanue huyo jamaa wa Ngaramtoni ni nani utajibu nini? Tusivunjiane ndoa tafadhali, mume wangu anawahi kurudi nyumbani na hajashindwa kulipa school fees.


Rudi kwenye mada tafadhali.
 
Ndo maana wanawadunda wanawake!Unatoa mil 10,halafu gem unapewa kama mgawo wa umeme!!Hapo lazima meno ya varandani yawe halali yangu!!

Mzee unahonga kha! Yaani ten m lol alafu bibi zako kijijini wanalala kwenye nyumba ya nyasi.
Mi Tandale nikiwa na elfu 50 natesa mtaa mzima na wanajua kidume nimefika watu watakula na kunywa mpaka wanakimbia.
 
Back
Top Bottom