Sisi ndio wanaume bwana!

Sasa ODM,mmoja tu pasua kichwa wawili si ndo balaa!Mi sitaki wawili nataka mmoja tu tena awe hajui kusoma wala kuandika,sitaki awe anajua haya mambo ya globolaizesheni,ni tabu tupu!Yeye ni kupika na kuijali nyumba tu!


Wa hivyo mbona hata kumi unamiliki tu bila shida?
 
Hivi huna habari kuna wanaume wasio na wakuwakatia kiu zao? Unaonaje bibi nae akatoa msaada?
Mwanaume rijali anamridhisha mwanamke wake physically na emotionally. Kama mwanamke wakpo anaridhika emotionally kwa kuchelewa kwako kurudi kila mara,its well and good. Msidanganyane hapa wengine wakaenda kuondolewa uanaume wao na wanawake zao!

Hahaha. Anawadanganya wenzie kwenye keyboard, kuna wanaume wake zao mabaunsa bana, achelewe aone cha moto, lol..

hhaaahhaahha! e bana weeee!....
hapa nyamayao bado hajaweka mkwara wake!...
 
mbona hivyo kwani wamekutoa kasoro babaa? we sawa ni mwanaume sikatai ila pia sipati picha dunia nzima ingejazwa mijidume ingekuwa vip?Mungu alikuwa na makusudi kukuweka uwe kidume na mm niwe jike sio? i wish ungewakumbusha vidume wenzio kuwa wakiwa na hofu ya Mungu itampa credit ..maana unawacctiza akichakachua ahakikishe mke hajui ..umesahau hakuna siri chini ya jua lazima atajua tuu kama si leo kesho bob wangu!!
 
Babu,
Namba tatu
labda wa zamani, siku hizi
ni wachache wanaowajibika ipasavyo

Kama namba tatu inampa shida basi "by definition" huyo sio MWANAUME. UANAUME ni taasisi kama alivyokwisha sema mleta hoja hiyo ya namba tatu inashughulika na idara moja tu kwenye hii taasisi nyeti.
 
haki ya nani Mwalimu sikujua kua zawadi nayo inapangiwa bei..lol

hahaha Kimey bana umenichekeshesha sana. Mkitaka kuoa ma-celebu, habari ndio hiyo!

Wanaume wenzio wanakokotwa kwa sonara kununua jipete la dollar milioni kadhaa; itakuwa mdafu M 10.

Hasara roho, pesa kitu gani!
 
Ndo maana wanawadunda wanawake!Unatoa mil 10,halafu gem unapewa kama mgawo wa umeme!!Hapo lazima meno ya varandani yawe halali yangu!!
 
Mahari si bei ya ununuzi, mahari ni zawadi. Hatutaki wanaume wabaghili. Kama huna milioni kumi ya zawadi kwa mwanamke atakaekuwa nawe maisha yako yote chapa lapa...............lolz

zawadi gani ya kupangiwa? Mwnye kutoa zawadi ndo anapanga atoe nini, hayo ni mauziano kma mauziano mengne
na ndo maana tunaomba kupnguziwa bei.
 
Back
Top Bottom