Wee mchar......Aah we chauro hako katoto kapeleke shule.Acha kukafikiria mambo ya ajabu!!
Too eassy! Wanawake watatu mnagawana wanaume wawili. Kila mmoja na nyumba kubwa yake, mwanmke wa tatu ni nyumba ndogo, anawapangieni zamu kwa mujibu wa kujitutumua kwenu, anayetoa dau kubwa zaidi anapewa umuhimu kwa kwanza.Babu bana,mwanamke mmoja na nusu!Sasa yupi huyo atakubali kukatwa abaki nusu?
Pamoja mkuu! Sisi ndio wanaume bana!kamata tano zako kamanda, hapo ni kama umeikamilisha wikiedn yangu, duuuuuuu!
Ndyoo vile sasa, inabidi wanaume wengine wakamate wanawake wawili na wengine wabakie na mmoja.........Babu bana,mwanamke mmoja na nusu!Sasa yupi huyo atakubali kukatwa abaki nusu?
Aisee mukulu una kaa pande ya wapi? Unanidai bia kazaa mwanaume mwenzangu.........Too eassy! Wanawake watatu mnagawana wanaume wawili. Kila mmoja na nyumba kubwa yake, mwanmke wa tatu ni nyumba ndogo, anawapangieni zamu kwa mujibu wa kujitutumua kwenu, anayetoa dau kubwa zaidi anapewa umuhimu kwa kwanza.
Wanawake watakuja wametoa mimacho we acha tu!Unawaambia wanamilikiwa!Lakini kweli,mahari sijui milion 4!Sasa anatofauti gani na aliynunua gari kisha kulimiliki?Naanza kuona ukweli kwenye kauli yako babu!....
Unadaiwa milioni nne unatoa povu, jee ungedaiwa 10 kama wenzio wanavyofanyiwa!
Kama huna hela chapa lapa ...........:]
anataka wa bure kwani sakramenti?
Afa'analeik! Niko mbali mkuu lakini kunywa kwa afya yangu, iko siku tutagongana!Aisee mukulu una kaa pande ya wapi? Unanidai bia kazaa mwanaume mwenzangu.........
napita tu
....namba nne na namba tano haijakaa vizuri bana....
- mwanaume kweli hazunguki kupata akili za mbayuwayu...anajitosheleza na akili na mamuzi yake magumu.
- hiyo namba tano imekaa kiuoga uoga mno bana, usingeiweka hapo...kama hujiamini 'mke asijue,' yanini kufanya bana?
ukiingia vitani usiogope kufa bana...
ni mtazamo wangu tu mbu.
hahaha MwalimuUnadaiwa milioni nne unatoa povu, jee ungedaiwa 10 kama wenzio wanavyofanyiwa!
Kama huna hela chapa lapa ...........:]