Sisi ndio WANAUME bana.....!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sisi ndio WANAUME bana.....!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Asprin, Nov 18, 2011.

 1. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #1
  Nov 18, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,841
  Likes Received: 23,459
  Trophy Points: 280
  Habari zenu waungwana.....


  Huu ni waraka kwa vijana/wavulana wanaokaribia kuwa WANAUME. Kuwa MWANAUME si mchezo na si lelemama. Ushawahi kusikia Chama cha Wanaume, Umoja wa Wanaume, Umoja wa Wanasheria Wanaume, Umoja wa Madaktari wanaume etc?........ Hii inamaanisha MWANAUME ni Taasisi inayojitegemea.
  Mwanaume kamili aliyekamilika si kama yule aliyozungumzia Bishanga kwenye sredi yake (kwa makusudi siweki link yake hapa)
  Ili uwe MWANAUME yakupasa kwanza kabisa kumshukuru Mungu kwa kuumbwa jinsia ya kiume. Umepewa upendeleo lazima ushukuru. Halafu:

  1. Uwe RIJALI na MMILIKI (hili halihitaji ufafanuzi) Ukishakuwa rijali unapaswa uwe na UMILIKI. Umiliki wa mwanaume rijali ni umiliki wa MWANAMKE/WANAWAKE. Iwe rasmi au vinginevyo. (Umiliki wa watoto pia ni muhimu japokuwa hili lategemea zaidi mapenzi ya Mungu). Ikumbukwe kuwa Mwanamke ni MALI ya mwanaume lakini watoto ni mali ya Mwanamke na Mwanamme.

  2.Uwe na MAAMUZI. Usilegelege katika maamuzi yako. Mwanaume ndiyo kichwa cha familia, kichwa hakipaswi kuyumbishwa na mabega.....sawa? Kumbuka wewe ni taasisi!

  3. MWAJIBIKAJI: Ni wajibu wako kuhakikisha Mwanamke UNAYEMMILIKI anatosheka na na kuridhika na huduma zako. Bioloji yake ipate habari yake sawa sawa, tumbo lake lipate chakula cha kutosha, mwili wake upate mavazi na miguu viatu. Mkipata watoto na mwanamke wako ni wajibu wako kuhakikisha wanapata mahitaji yote wanayostahili. Kama huna uwezo kwanini uzae kama kuku? Kulaaaleki!

  4. Ukishafanikiwa kuyamudu yooote hayo hapo juu, usisahau kuwa duniani kuna wanaume wenzako. Tafuta muda wa kukutana na wanaume wenzako uongeze ujuzi na maarifa ya kuuishi uanaume. Hapo valuu, biya na nyama choma vinaruhusiwa kusikiliza maongezi yenu. Ukishapiga haya makitu rudi kwa mwanamke wako kampe haki yake kulaaleki. Ikumbukwe kuwahi kurudi nyumbani si sifa ya mwanaume. Mwache Mwanamke wako awe na muda wa kuwa huru na kulea watoto.

  5. Inapotokea kwa namna yoyote na kwa sababu yoyote ile necha ikashika kasi ukajikuta unaenda nje ya MWANAMKE WAKO, hakikisha unaenda kwa uangalifu. MWANAMKE WAKO asijue! Kosa kubwa sana akijua, na hii si sifa ya mwanaume. Huo ni uvulana. Na huko ufanye kwa UANGALIFU. Usijemletea maradhi MWANAMKE wako.

  Kuna wakongwe wenzangu, WANAUME wenzangu kibao wako hapa jamvini wanaweza kuendeleza huo mlolongo.

  Au kama vipi, leo ni ijumaa, twaweza panga mkakati wa kukutana ili tuzungumzie uanaume wetu.

  SISI NDIO WANAUME BANA! Wanaume ndio SISI.

  Wanaume wengine hawa hapa wanaendeleza waraka.....

   
 2. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #2
  Nov 18, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Pamoja Sana! Hommie
   
 3. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #3
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 555
  Trophy Points: 280
  You are absolutely right. HAyo ni mambo ya msingi. Ukishindwa unaitwa majina kibaaaao.
   
 4. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #4
  Nov 18, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,841
  Likes Received: 23,459
  Trophy Points: 280
  Umeona eh? kamwambie bishanga a-edit ile thread yake. Inawahusu wavulana ile....

  Sisi ndio wanaume bana!
   
 5. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #5
  Nov 18, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hahaaaaaaaaa babu ijumaa njema usisahau kuwahi nyumbani.
   
 6. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #6
  Nov 18, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  SISI NDIO WANAUME BANA! Wanaume ndio SISI.

  Anayebisha atakuwa amelaaniwa.....Asprin tuonane counter ya juu baadae kwa hii useful thread imenipa hamu ya bia baridi​
   
 7. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #7
  Nov 18, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  hahahaha mambo ya kuitwa Gume gume nani anataka!!
   
 8. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #8
  Nov 18, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,841
  Likes Received: 23,459
  Trophy Points: 280
  Kuwahi nyumbani siyo sifa ya mwanaume bora!

  Aisee leo napanga viti mwenyewe kulaaleki!
   
 9. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #9
  Nov 18, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ....namba nne na namba tano haijakaa vizuri bana....

  - mwanaume kweli hazunguki kupata akili za mbayuwayu...anajitosheleza na akili na mamuzi yake magumu.
  - hiyo namba tano imekaa kiuoga uoga mno bana, usingeiweka hapo...kama hujiamini 'mke asijue,' yanini kufanya bana?
  ukiingia vitani usiogope kufa bana...

  ni mtazamo wangu tu mbu.
   
 10. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #10
  Nov 18, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Bi Shanga ana strategies zake humu hommie Stuka!
   
 11. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #11
  Nov 18, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,841
  Likes Received: 23,459
  Trophy Points: 280
  Hahahaha......... kuna sababu nyingi bana...
  Hawa mabinti wasio na wanaume zao nani atawakata kiu yao?
   
 12. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #12
  Nov 18, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,841
  Likes Received: 23,459
  Trophy Points: 280
  Nshamstukia hommie, yale ma LIKES ya mabinti, lazima alikuwa busy kwenye PM.
   
 13. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #13
  Nov 18, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,650
  Trophy Points: 280
  Yap!Ila kwenye umiliki wa mwanamke kidogo ungebadilisha lugha,yule ni msaidizi wa mwanaume bana.Halafu kumbe ndo maana jana sikukuona kule.Kulikua na maugomvi balaa,anway,uko sahihi 85%!
   
 14. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #14
  Nov 18, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kweli duinia uwanja wa fujo.............hahaaaaaaaaa kweli nyinyi ndio wanaume na sisi ndio mama zenu nimemvutia picha yule boy wangu siku za usoni atakavokuwa mwanaume anayehangaisha mabinti.

   
 15. olele

  olele JF-Expert Member

  #15
  Nov 18, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 814
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 80
  Item no 4 ndo imesababisha hii thred.
   
 16. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #16
  Nov 18, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,650
  Trophy Points: 280
  Babu,hao mabint wasiokua na wa kwao wanakatwa kiu na vijana wasiokua na wapo pia!Yaani ngoma droo!
   
 17. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #17
  Nov 18, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,841
  Likes Received: 23,459
  Trophy Points: 280
  Mwanamke ni MALI ya mwanaume. Unafikiri kwanini anabadilisha ubini wake? Stuka dogo!

  Si kuwahangaisha.... ni kuwapatia haki yao.

  Hahahaha.....vigezo na masharti kuzingatiwa.
   
 18. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #18
  Nov 18, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Hongereni kwa kumiliki
   
 19. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #19
  Nov 18, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,841
  Likes Received: 23,459
  Trophy Points: 280
  Kaangalie matokeo ya sensa vizuri. Ili kila mwanamke awe na mwanaume wake kila mwanaume anapaswa kumiliki angalau mwanamke mmoja na nusu! Stuka!
   
 20. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #20
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  [​IMG] [​IMG] [​IMG]
  Happy Friday Babu Asprin ..
   
Loading...