Sisi mambo yetu yapo Safi Wapinzani wanaumizwa na bei za mafuta na bidhaa mbalimbali

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,352
11,475
Na bado. Sisi CCM hatuna shida haya ya mafuta kupanda hayatuumizi. Unayajua ma VIEITIII? Unayajua? Au unayasikua tu? Ndo tunayoyatumia. Hata hayali kabisa mafuta. Yanatumia upepo tu. So mafuta kupanda bei haituhusu.

Sijuu bidhaa zimepanda bei, sijui maisha yamekuwa magumu. Tozo n.k hayo hayatuhusu sisi wana CCM kindaki ndaki. Ninyi wapinzani mtaisoma namba. Tena mtaisomea hata Ubavuni ikiwa mbele na nyuma hamwoni.

Mnapoambiwa ichagueni CCM ili ishindwe kwa kishindo mnachagua wapinzani. Wanawachelewesha na watawaumiza sana kwa kusababisha bei za vitu zipande.
 
Wapo wenyewe maisha ni MAGUMU kuliko enzi za wapinzani hiyo 2025 waratutanganya nini?
 
Namba zinasomeka kwa kila mtu! Uzuri wa Wabongo ikifika wakati wa uchaguzi watakuwa wamesahau maumivu yote!
 
Back
Top Bottom