Sisi kama Taifa, Adui yetu mkuu haswa ni nani?

Analyse

JF-Expert Member
Jan 19, 2014
16,439
41,491
Frankly speeking, regardless my political view, nimekuwa nikijiuliza ili swali kwa muda mrefu kidogo.

Wakati awamu ya 4 ya Mh Kikwete inaingia madarakani, kauli mbiu zake kama sijasahau zilikuwa :

"Maisha Bora kwa kila Mtanzania na nyingine ikawa Hali mpya na Kasi Mpya"

Hizi kauli japo ni za kisiasa ila ni kama zilikuwa zinajaribu kuamsha morali kwa wananchi. Alijaribu kutuaminisha bright future kutokana na msoto tuliopitia.

Awamu yake ikapita, hatimae tukaletewa chuma. Huyu Mh yeye alikuwa wazi sana juu ya vitu vilivyokuwa vinaturudisha nyuma.

1. Mafisadi na wahujumu uchumi
2. Mabeberu
3. Wapinzani wanaotumiwa na mabeberu
4. Wapinzani wanaopinga jitihada za serikali.

Hiki chuma kilikuwa very strictly katika mambo yake. Na yote aliyokuwa anayasema tuliyasikia, aliyoyafanya na kutenda tukayaona.

Katika mapambano yake ya mwanzo kabisa, alianza na sekta ya madini, hasa kwenye makinikia. Pale akatuonesha kuwa tulikuwa tunaibiwa kwa miaka mingi sana, tena pesa nyingi. Mwisho wa siku mkataba ukasainiwa upya ili uangalie na maslahi yetu kama nchi. Pia kule mererani akajenga ukuta mrefu sana.

Tukaaminishwa kuwa sasa Taifa limepata mtu wa kutupigania haswa. Ule unyonyaji haupo tena, nchi imeanza kuneemeka na soon tutaanza kuona matunda ya uvumilivu.

Bahati mbaya Chuma kimetangulia mbele ya haki.

Ndani ya mwezi mmoja tokea aingie Mama madarakani, tumeona yafuatayo:

1. Pamoja ukuta mrefu kule mererani, bado madini yanaibiwa kama zamani.

2. Pamoja kuingia mkataba upya, ila bado unamapungufu mengi mno kiasi kwamba ni kama hakuna kilichofanyika (hapa kumbuka tuliambiwa mkataba mpya sisi kama Taifa tunafaidika na madini yetu).

3. Ndege ambazo tuliambiwa zinaingiza faida kibao, kumbe hazijawahi leta faida tokea zianze kazi. Kama mwaka mmoja zimeleta negative bilion 60, vipi miaka yote 5?

4. Kumbe lengo la kuunganisha mifuko ya pension, sio kwa ajili ya ufanisi, bali ni kwamba imetobolewa kabisa.

5...

Kwa ufupi tuliyekuwa tunaambiwa ni mtetezi wa wanyonge na anaipigania nchi, kumbe nae alikuwa anaturudisha nyuma kwa speed ya mwanga, huku wananchi tukilazimishwa kuamini tofauti.

Tuliaminishwa anapambana na ufisadi, ila report ya CAG inakinzana na tulichokuwa tunaambiwa. Au hata alichosema leo CAG (08th April) ni vigumu kuamini kulikuwa na vita dhidi ya ufisadi.

Sasa kaingia Mama anaonekana ni mkombozi mpya wa nchi. Ila hata Chuma alianza hivi hivi.

Hapa ndio najiuliza "ADUI WETU HASWA NI NANI?"

Je, ni wale wapinzani waliokuwa wanapinga harakati za serikali?

AU

Ni wale ambao wapo katika mfumo mzima wa uendeshaji nchi, ila wapo kwa maslahi binafsi?

AU

Ni mabeberu kama tumekuwa tukiambiwa kwa miaka mitano?

AU

Ni sisi wananchi ambao tunachagua watu bila kuangalia maslahi mapana ya nchi?

Au, au, au .....

Tokea uhuru, tupo chini ya chama kimoja, ambacho kina misingi na itikadi za kukiendesha na kina ukomavu wa kutosha, sasa tatizo ni nini mbona hatusogei?

Hatuwezi shinda vita au mapigano yoyote bila kujua tunayepigana nae au tunayepaswa kupigana nae ni nani.

Mwisho kabisa naomba kuuliza, Hivi kipaumbele chetu kama nchi ni kipi?
 
Adui yetu ni MIFUMO DHAIFU

Marekani kwa mifumo imara ya kitaasisi iliyojengwa toka zamani kama sera za nchi za nje, uchumi, siasa..n.k leo hata ukimweka Rais mtoto mchanga nchi itasonga tu. Mifumo imara ya taasisi za nchi zinauwezo wa kumdhibiti hata Rais(Mfano Trump na ujinga wake) pale anapoenda kinyume na utamaduni/mfumo wa uendeshaji wa nchi.
 
Ni sisi wananchi ambao tunachagua watu bila kuangalia maslahi mapana ya nchi?

Au, au , au .....

Tokea uhuru, tupo chini ya chama kimoja, ambacho kina misingi na itikadi za kukiendesha na kina ukomavu wa kutosha, sasa tatizo ni nini mbona hatusogei??
Hayo mawili yanaweza kuwa sahihi, maana mjenga nchi ni mwananchi na mbomoa nchi ni mwananchi.

Mpaka tufike mahali ambapo viongozi waogope kufanya mabaya wakijua kuwa wakifanya mabaya watachukuliwa hatua, othewise tunatwanga maji kwenye kinu. Rais yuko juu ya sheria, hawezi kushtakiwa hata akishatoka madarakani- sasa msukumo wa kutotenda mabaya atautoa wapi; tutegemee uzalendo tu??
 
Frankly speeking, regardless my political view, nimekuwa nikijiuliza ili swali kwa muda mrefu kidogo.

Wakati awamu ya 4 ya Mh Kikwete inaingia madarakani, kauli mbiu zake kama sijasahau zilikuwa :

"Maisha Bora kwa kila Mtanzania na nyingine ikawa Hali mpya na Kasi Mpya"

Hizi kauli japo ni za kisiasa ila ni kama zilikuwa zinajaribu kuamsha morali kwa wananchi. Alijaribu kutuaminisha bright future kutokana na msoto tuliopitia.

Awamu yake ikapita, hatimae tukaletewa chuma. Huyu Mh yeye alikuwa wazi sana juu ya vitu vilivyokuwa vinaturudisha nyuma.

1. Mafisadi na wahujumu uchumi
2. Mabeberu
3. Wapinzani wanaotumiwa na mabeberu
4. Wapinzani wanaopinga jitihada za serikali.

Hiki chuma kilikuwa very strictly katika mambo yake. Na yote aliyokuwa anayasema tuliyasikia, aliyoyafanya na kutenda tukayaona.

Katika mapambano yake ya mwanzo kabisa, alianza na sekta ya madini, hasa kwenye makinikia. Pale akatuonesha kuwa tulikuwa tunaibiwa kwa miaka mingi sana, tena pesa nyingi. Mwisho wa siku mkataba ukasainiwa upya ili uangalie na maslahi yetu kama nchi. Pia kule mererani akajenga ukuta mrefu sana.

Tukaaminishwa kuwa sasa Taifa limepata mtu wa kutupigania haswa. Ule unyonyaji haupo tena, nchi imeanza kuneemeka na soon tutaanza kuona matunda ya uvumilivu.

Bahati mbaya Chuma kimetangulia mbele ya haki.

Ndani ya mwezi mmoja tokea aingie Mama madarakani, tumeona yafuatayo:

1. Pamoja ukuta mrefu kule mererani, bado madini yanaibiwa kama zamani.

2. Pamoja kuingia mkataba upya, ila bado unamapungufu mengi mno kiasi kwamba ni kama hakuna kilichofanyika (hapa kumbuka tuliambiwa mkataba mpya sisi kama Taifa tunafaidika na madini yetu).

3. Ndege ambazo tuliambiwa zinaingiza faida kibao, kumbe hazijawahi leta faida tokea zianze kazi. Kama mwaka mmoja zimeleta negative bilion 60, vipi miaka yote 5?

4. Kumbe lengo la kuunganisha mifuko ya pension, sio kwa ajili ya ufanisi, bali ni kwamba imetobolewa kabisa.

5...

Kwa ufupi tuliyekuwa tunaambiwa ni mtetezi wa wanyonge na anaipigania nchi, kumbe nae alikuwa anaturudisha nyuma kwa speed ya mwanga, huku wananchi tukilazimishwa kuamini tofauti.

Tuliaminishwa anapambana na ufisadi, ila report ya CAG inakinzana na tulichokuwa tunaambiwa. Au hata alichosema leo CAG (08th April) ni vigumu kuamini kulikuwa na vita dhidi ya ufisadi.

Sasa kaingia Mama anaonekana ni mkombozi mpya wa nchi. Ila hata Chuma alianza hivi hivi.

Hapa ndio najiuliza "ADUI WETU HASWA NI NANI??"

Je, ni wale wapinzani waliokuwa wanapinga harakati za serikali?

AU

Ni wale ambao wapo katika mfumo mzima wa uendeshaji nchi, ila wapo kwa maslahi binafsi?

AU

Ni mabeberu kama tumekuwa tukiambiwa kwa miaka mitano?

AU

Ni sisi wananchi ambao tunachagua watu bila kuangalia maslahi mapana ya nchi?

Au, au , au .....

Tokea uhuru, tupo chini ya chama kimoja, ambacho kina misingi na itikadi za kukiendesha na kina ukomavu wa kutosha, sasa tatizo ni nini mbona hatusogei??

Hatuwezi shinda vita au mapigano yoyote bila kujua tunayepigana nae au tunayepaswa kupigana nae ni nani.

Mwisho kabisa naomba kuuliza, Hivi kipaumbele chetu kama nchi ni kipi??
Kama watanzania adui yetu mkubwa ni uvccm
 
Adui mkubwa wa nchi hii ni katiba iliyopo sasa. Katiba inawapa viongozi nguvu kubwa mno ya kufanya watakacho bila ya kuwa na kuwawajibishwa kwa pale wanapokosea.
Kiongozi anaweza akaja na nia nzuri kabisa lakini akigundua nguvu hasa aliyokuwa nayo kikatiba anakuwa na jeuri ya kufanya chochote kile ikiwemo 'kutulisha matango pori' kitakwimu pasi na kuweza kuhojiwa. Na pale ikibainika tulidanganywa hakuna tunachoweza mfanya.
So bila Katiba mpya itakayoendana na hali halisi ya dunia ya leo daima tutakuwa tanapiga hatua 2 mbele na 10 nyuma.
 
Maadui wakubwa wa Watanzania ni maccm.
Frankly speeking, regardless my political view, nimekuwa nikijiuliza ili swali kwa muda mrefu kidogo.

Wakati awamu ya 4 ya Mh Kikwete inaingia madarakani, kauli mbiu zake kama sijasahau zilikuwa :

"Maisha Bora kwa kila Mtanzania na nyingine ikawa Hali mpya na Kasi Mpya"

Hizi kauli japo ni za kisiasa ila ni kama zilikuwa zinajaribu kuamsha morali kwa wananchi. Alijaribu kutuaminisha bright future kutokana na msoto tuliopitia.

Awamu yake ikapita, hatimae tukaletewa chuma. Huyu Mh yeye alikuwa wazi sana juu ya vitu vilivyokuwa vinaturudisha nyuma.

1. Mafisadi na wahujumu uchumi
2. Mabeberu
3. Wapinzani wanaotumiwa na mabeberu
4. Wapinzani wanaopinga jitihada za serikali.

Hiki chuma kilikuwa very strictly katika mambo yake. Na yote aliyokuwa anayasema tuliyasikia, aliyoyafanya na kutenda tukayaona.

Katika mapambano yake ya mwanzo kabisa, alianza na sekta ya madini, hasa kwenye makinikia. Pale akatuonesha kuwa tulikuwa tunaibiwa kwa miaka mingi sana, tena pesa nyingi. Mwisho wa siku mkataba ukasainiwa upya ili uangalie na maslahi yetu kama nchi. Pia kule mererani akajenga ukuta mrefu sana.

Tukaaminishwa kuwa sasa Taifa limepata mtu wa kutupigania haswa. Ule unyonyaji haupo tena, nchi imeanza kuneemeka na soon tutaanza kuona matunda ya uvumilivu.

Bahati mbaya Chuma kimetangulia mbele ya haki.

Ndani ya mwezi mmoja tokea aingie Mama madarakani, tumeona yafuatayo:

1. Pamoja ukuta mrefu kule mererani, bado madini yanaibiwa kama zamani.

2. Pamoja kuingia mkataba upya, ila bado unamapungufu mengi mno kiasi kwamba ni kama hakuna kilichofanyika (hapa kumbuka tuliambiwa mkataba mpya sisi kama Taifa tunafaidika na madini yetu).

3. Ndege ambazo tuliambiwa zinaingiza faida kibao, kumbe hazijawahi leta faida tokea zianze kazi. Kama mwaka mmoja zimeleta negative bilion 60, vipi miaka yote 5?

4. Kumbe lengo la kuunganisha mifuko ya pension, sio kwa ajili ya ufanisi, bali ni kwamba imetobolewa kabisa.

5...

Kwa ufupi tuliyekuwa tunaambiwa ni mtetezi wa wanyonge na anaipigania nchi, kumbe nae alikuwa anaturudisha nyuma kwa speed ya mwanga, huku wananchi tukilazimishwa kuamini tofauti.

Tuliaminishwa anapambana na ufisadi, ila report ya CAG inakinzana na tulichokuwa tunaambiwa. Au hata alichosema leo CAG (08th April) ni vigumu kuamini kulikuwa na vita dhidi ya ufisadi.

Sasa kaingia Mama anaonekana ni mkombozi mpya wa nchi. Ila hata Chuma alianza hivi hivi.

Hapa ndio najiuliza "ADUI WETU HASWA NI NANI??"

Je, ni wale wapinzani waliokuwa wanapinga harakati za serikali?

AU

Ni wale ambao wapo katika mfumo mzima wa uendeshaji nchi, ila wapo kwa maslahi binafsi?

AU

Ni mabeberu kama tumekuwa tukiambiwa kwa miaka mitano?

AU

Ni sisi wananchi ambao tunachagua watu bila kuangalia maslahi mapana ya nchi?

Au, au , au .....

Tokea uhuru, tupo chini ya chama kimoja, ambacho kina misingi na itikadi za kukiendesha na kina ukomavu wa kutosha, sasa tatizo ni nini mbona hatusogei??

Hatuwezi shinda vita au mapigano yoyote bila kujua tunayepigana nae au tunayepaswa kupigana nae ni nani.

Mwisho kabisa naomba kuuliza, Hivi kipaumbele chetu kama nchi ni kipi??
 
Hata adui namjua basi! Naishi tu maana washanichanganya! Adui nimjuae ni umaskini ambae kilo mmoja wetu anampigania ktk namna tofauti ndio Sasa hapo yanatokea ya kutokea!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom