Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,043
- 2,000
Wakuu,nimeona tcu wametoa majina kwa makundi,kuna kundi la waliopata mikopo ya heslb,kuna kundi la mozambique scholarship,kuna kundi la previous loanee nk.sasa naomba kuwauliza,je sisi ambao hatukuomba mikopo ila tumechaguliwa vyuoni na maombi yetu yalipitia kwenye mfumo wa Cas-tcu tunawekwa kwenye kundi gani,au lini tcu itatoa majina yetu?