Huyu jamaa anajifanya ana akili sana na mjuzi wa mambo, na Mimi mwanzoni nilikuwa namchukulia hivyo lakini hili andiko, let me reserve my comments! Unajua kitendo alichofanya JPM ni cha kipongezwa cha kutoa hizi ndege zizalishe! Niliumia sana siku moja wakati mtoto wa (yule waziri wa ndani alofukuzwa kwa ulevi na Magufuli ) alipofariki ndege ya serikali ilikuwa imepaki mwanza airport ikiksubiri mama salma (enzi za JK) tangu asubuhi hadi jioni. Ni bora ibaki moja na nyingine zizalishe. After all kwa vile ni ndogo ATCL waweza kuwa wanasitumia kwa route ambazo zina abiria wachache. Aidha alinikosha aliposema ndege hizi zinaweza kukodishwa nikafikiria Dreamliner ni bora ikakodishwa kwa mtano Ethiopian airlines au mashirika mengine zizalisheNi bwege sana huyu Genta, nilidhani ana hoja kubwa na mbadala kumbe eti moja iuzwe. Hopeless kabisa!